!Hello! Wana jf mi ni mwenzenu naomba mnipe mawazo mimi ni mwalim nataka nikalitumikie Taifa Morogor ila naomba mnisaidie, wilaya gani moro ni nzuri kwa maisha ya mwalimu ili kufanya na kashughuli...
Salam wana bodi
Kama wewe si msabato katika sule ya emau jua jua siku zote umekaliakuti kavu.
Wanaoongoza kuvunja maadili ni mwasibu 0768078206 anafanyia ofisini mwake
Jujulu patroni 0759820605...
Naomba mnisaidie hii sheria mpya kuhusu ada vyuo vikuu.
Wanaiita student unit cost framework
Inasema nini kuhusu upandishaji wa ada na kama kuna mtu anayo.
Naomba anipe link niipate na mimi...
Kwa sasa nipo mkoani mwanza na kiwanda x nafanya kazi, ila wakati natafuta kazi mwaka jana niliomba kufundisha seminari moja hivi ya wakatoliki, sasa wakuu naomba kujua kama wanaallowanzes zingine...
Jamani naomba anayefahamu taratibu za kujiandikisha na mtihani wa kidato cha nne aniambie wadau,
yaani; ada kwa pc
mwisho kujiandikisha na utaratibu mzima.
Katika kipindi cha maswali na majibu bungeni kwa waziri mkuu aliwaeleza wabunge ya kwamba wanafunzi watatumia tablet pc mbadala wa kubeba vitabu.
Wakati wanafunzi wanakaa chini hakuna madawati...
[SIZE=4]Goodafternoon
i am in urgent need of the tanzania national policy on social responsibily for bank in Tanzania. If anyone knows where and how i can get it please assist
Wadau wa jf naombeni msaada wenu aisee nimeapply form za mkopo kwenye heslb kwaajili ya mdogo wangu but kila kitu kimeenda poa but kwenye printing inagoma inasema error kwenye f6index no...
Habari wana JF.
Napenda kufahamu kutoka kwa wanaofahamu kuhusu teknolojia katika nchi yetu.
Je, kuna chombo chochote kinachosimamia au kuendeleza teknolojia ya watanzania wanazozigundua au...
Wana JF
Kuna mtu ameniomba nimtaftie taarifa kuhusu fani ya uuguzi, katika pitapita zangu nikakutana na tangazo la wizara ambalo pamoja na sifa nyingine linahitaji alama D katika somo la fizikia...
habari wanajf.
mimi nilichaguliwa kusoma bachelor of science in midwifery pale MUHAS kwa mwaka wa masomo 2013/2014.nilienda chuo na nilifanya registration lakini kutokata na sababu zilizokuwa nje...
Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani
Asanteni sana.
Ni muhitim wa elimu ya juu ktk fani ya bsc in IT niligraduate ktk taasisi ya elim ya juu yaan IFM na kufanikiwa kupata GPA ya 3.8, malengo yangu siku zote tangu naanza kusoma ni kuwa mkufunzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.