Habar zenu ndgu zangu. napenda kuwafahamisha kile nilchobahatika kukisikia leo kutoka katika chanzo changu cha uhakika. MAJINA NDO YALIKUA YANAPANGWA LEO HIVYO SWALA LA AJIRA LINGALI LIPO JAPO...
Jamani naomba mnijulisheni, niko gizani, hivi ualimu ngazi ya cheti wanachuo watalazimika kusoma kwa miaka 3 kwa wale wale wenye division 4 ya pointi 26, 27 kwa miaka ya nyuma na wa 2013 wenye...
Naombeni msaada wenu kama inawezekana kwa mtu mwenye Ordinary Diploma (NTA Level 6) kama anaweza kupata scholarship ambazo hutolewa na balozi mbalimbali hapa nchini kama Turkey, Algeria...nk
Hello
Anyone to solve this qtn
Kijika's police is to charge 10% of the consignment value cover freight charges. Insurance premium is at 1.5% of C&F value. VAT is at rate of 20% of the purchase...
Kuhusu kujiuzul kwa Prof. Nyamhumwa wa DIT kama alivyoahidi ikitokea kama atakuwa chanzo cha mgomo.
Giza nene limetawala kuhusu kujiuzulu kwa Prof. Nyamhumwa katika Taasisi ya Technolojia ya...
Wanafunzi hao wamepewa barua zilizokariri kuvunjw kwa sheria za chuo kwa maandamano yaliyofanywa tar 29/5 mwaka huu kushinikiza kupewa hela zao za mkopo. wanafunzi hao wamesitishiwa masomo kwa...
Aya aya aya aya aya
tukumbushane a.k.a zetu tulizokuwa tunaitwa na wanafunz wenzet instead of our real names?
mfano.
mim wakat nkiwa shule ya msing mburahati walinpa nick name 'kipua'coz nlikuwa...
Hivi huku vyuoni hakuna mechanism ya kuwafuatilia hawa walimu ufundishaji wao, au ndio wakishaajiliwa imetoka wanaendelea kufundisha wanavyojua wao na hakuna cross-checking maana kuna walimu hapa...
Habar wana jf nimepata tatizo wakati najaza fomu ya mikopo, baada ya kulipia nikapata muhamala wa mpesa, nikaanza kujaza fomu nlipofka sehem ya kusubmit email mtandao ukayumba ukanirudisha mwanzo...
Wanajf
naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu kozi hii;
1.ukiingia kazini, ni baada ya muda gani unaweza kurudi tena kusoma?
2.ukichukua yenye physics, unaweza soma masters ya physics?
3.ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.