Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

jaman mimi nimemalza form 6 PCB mwaka huu.kam matokeo yakiw mazur,mnanishauri nixome faculty gan itay0nipa ajira serikalin directly.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kati matokeo yangu sikutalajia Kama itatokea iv Nina History c,Kiswahili b,English c,geograph d,biolog d,chemistry d,civ e na mathematics e.sasa Nina div ya 32.je apo naweza kwenda wapi.nami nil...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau tafadhari msaada nina mkuu wangu wa shule ana kihelehele sana pamoja na serikali kutotambua mchango mkubwa wa walimu bado mkuu anakufatilia kisa anataka umaarufu kupitia kwako siku moja tu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli update ila mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima iwe nanyi wakuu, Naomba kuuliza vipi hizi scholarships?walisema mwanzoni mwa June watatoa taarifa,Vp kuna mtu mwenye taarifa zozote?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kati ya (Mzumbe,Udsm,Sua,Sauti na Udom) ni chuo kipi kati ya hivi unakikubali kwa kutoa taalumu bora kabisa na kipi kati ya hivyo vyuo kinabolonga..!
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Serikali kwa sasa imeamua kufanya mapindinduzi makubwa katika kuboresha sekta ya elimu hapa nchini.Nimependezewa na elimu nayo kuwekwa katika mpango wa matokeo makubwa sasa Big Results Now...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Msaada kwa anayefaham vitabu vinavyotumika A level kwa masomo ya Economics na Commerce
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Ndugu zangu wadau me nmemalza form six 2014 napenda koz ya internatiönal relation. Vp kuhusu koz je kuna ajira coz naogopa kuxoma af nkae mtaan bla kaz. tafadhal wanaojua nsaidien.
0 Reactions
0 Replies
698 Views
kama upo Tanga na ni mwalimu,unapenda kubadilishana na mtu wewe uje kilimanjaro na yeye aje tanag jiji iadara ya secondari,ni inbox hapo JF.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman me nashindwa kuelewa,serkal ilisema kuwa wale wenye princpal mbili afu wajaenda ualimu ngaz ya diplopa au wa wa o-level wa masom ya sayans wakienda kusoma ualimu ngaz ya diploma watapewa...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Tunaomba mtu rudishie thread ya kubadilishana vituo vya kazi kwa waalimu mana ndo mkombozi wetu.
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Hivi ni kweli kuwa ukiwa na D 2 na E katika PCB, unaweza kusoma ktk vyuo vya afya vya binafsi? {Kwa ngazi ya cheti }
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Samahani wapendwa,mimi ni mwalimu nimeajiliwa ajira mpya za 2014 natafuta wa kubadilishana nae kituo cha kazi,yeye aje KWIMBA MWANZA mimi niende SONGEA RUVÙMA. Kama yupo naomba ajitokeze
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesoma EGM A level naweza kuapply course gani university?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kama sijaelewa vizuri. Katika hyo guidebook kuna ile column ya admission requirements wameandika diploma(teacher education or NTA level 6) sasa wanamaanisha mtu mwenye diploma ya ualimu, anaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wa kuu kuna jambo moja naomba msaada wenu ati nimesikia bungeni limezungumziwa suala la vijana waitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 & 2014 ambao hawatokwenda kupata mafunzo ya JKT...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naombeni msaada wadau, ili kuipost fomu ya bodi ya mikopo kwa njia ya EMS pale nje ya bahasha tunaandika anwani ya namna gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Which one is the best option to students who are about to start writing master’s thesis? Giving them a research title or let them suggest research title?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenye kukijua chuo cha TANZANIA INSTITUTE OF TRANSPORT-DSM Naomba hanifahamishe kuhusu hiki chuo//Ni tarehe ngapi huwa ni mwisho wa kutuma maombi ya chuo CONTACTS!:::: 0684-354 346...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Back
Top Bottom