Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana Jf wenzangu mliohitimu kidato cha nne 2013,nimepata tetesi ya kua tarehe 26 mwezi mei ndio selection zilitakiwa ziwe aut but naibu wazir alikhairisha hadi hapo itakapo fika tarehe 10 june,kwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kuna dogo mmoja anaomba ushauri kapata alama zifuatazo katika mtihani wa NECTA mwaka jana.,,,phy c,chem c,bios b,geo c,kisw b,b/maths b,civ d ,history e,engl c ,na ana div 3 ya 25,wana jf...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tcu
Jaman msaada ,procedures za kuapply kwa SMS TCU nataka nijaze kozi ila nlishafanya registration
0 Reactions
2 Replies
925 Views
jamani hii tabia ya bord ya mikopo kukaa kimya bila kutoa taarifa yeyote ile kuhusu boom la wanafunzi wa chuo linaweza sababisha migomo isiyo na msingi kwa vijana wetu walio vyuoni kwani wengi wao...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
habari wanajf, hivi kuna uwezekano wa mwl wa diploma kuchukua degree ya kozi nyingne tofaut na education kama accountancy au civil engnerng? Msaada wenu tafadhar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza pale IFM mwaka jana niliomba mkopo ila wale majamaa wa bodi walinipiga chini sasa nimeomba tena ila kila nikiingiza zile code nilizotumiwa kutoka kwa M...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kona ya wasanii wachanga
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wale wenyeji wa Mwanza hasa, nisaidie hili tafadhari, napenda kufahamu kama chuo hiki kinatoa kozi za ualimu , hasa zile kozi za miaka mitatu kwa upande wangu nina three point 29 ya Art, Aidha...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Chanzo kutoka bungen walio kosa ajira amesema wameisha orodhesha majina na wamesubilia kibali kikipatikana majina yatatoka msijali bado mnafikiliwa
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Wale wa vyuo tuombeane jamani maana UE zinabeep then course work kupata ni ishu hapa Udsm wazee wanakaza sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
eti ili wawe wazalendo mbona hao wote waliopitia jkt zamani NDIO MAFISADI WAKUU na wasiokua na uzalendo kwa sasa.,....uzalendo haufundishwi mtu anazaliwa nao ....ILA WAPELEKENI TU MWAPE MAFUNZO...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
SMART PHONE.....Ni kitu kiziru.......tena cha mhm unaweza tumia kusoma, unaweza fanya socialization ...kukamilisha mawasiliano na ndugu jamaa na marafiki;;;;pia kuna kurekod matukio muhimu katika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Great thinkers sorry nilikuwa naomba msaada wa ushauri juu ya mdogo wangu aliemaliza form four mwaka 2013 na anataka soma certificate na diploma ya records n management so nilikuwa naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hivi ili kusoma bachelor of electronics and comunication udsm sifa zake zipi? Na mtu aliyesoma iyo kozi kazi Zake ni zIPi? Naomba mnisaidie
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Nahitaji kujua kuongea kingereza,kwa anayejua mahali, kituo,au chuo ambacho kinafundisha kingereza na ukaweza kuongea kingereza vzuri bila zengwe tafadhali naomba anijulishe,nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Nimesoma EGM A level niapply course gani university?
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Jamaa yangu mmoja kanifuta na kuniomba msaada wa mawazo kwamba toka amalize masomo yake ya kidato cha nne mwaka 2004 matokeo yake yalikuwa mabaya sana, sasa ana make plan ya kurisit mwaka kesho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada jamani kwa anayeifahamu vizuri hii faculty
0 Reactions
51 Replies
12K Views
Tukisema Elimu ya Tanzania CCM wameipeleka ICU wanafiki wanakataa na kuleta siasa kwenye Elimu.Mtihani wa utimilifu (mock) Darasa la saba mkoa wa Mwanza uliofanyika mei 21 na 22,2014 ulitolewa...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
nipo songea manispaa,nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo,sekondari.aje songea municipal niende mbeya city,contact 0682507621
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Back
Top Bottom