Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani naomba mnijuze hv ss watu wana apply mkopo au vyuo Maana watu wanazungumzia kuapply vyuo wakati matokeo yenyewe bado Jamani mm najua watu wanaomba mkopo na sio vyuo naomba nieleweshwe zaidi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Assalam Aleiykum kwa mpigo. Napenda kuchukua wasaa huu kuwakumbusha na kuwaomba msambaze taarifa za hii program ya The Mastercard Foundation for Africa, ambayo inatoa Scholarship kwa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Watumishi wa umma ambao walikuwa waajiriwa serikalini wakaacha na kwenda kusomea ualimu wamekosa mishahara yao mwezi huu baada ya system kuwatema.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
My warmest wishes to you and your dear ones on this very, very special day. Kama umegraduate with a good GPA, tafadhali jaribu The Master Card Foundation for Africa: Home Page | The MasterCard...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jaman wana javi ninashida moja inay onisumbua nayo ni hii. Ndugu zangu hapa nilipo mwenzenu nimehitimu Elimu ya kidato cha sits lakini lugha ya kiingeleza imenipita kushoto. namanisha ivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi naomba mnisaidie eti ni kweli kidato cha sita wa mwaka huu wataanza kuripoti vyuoni january mwakani...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuanzia uongozi wa juu wa chuo kuja chini wamejaa wahaya tuu.jambo linawatesa wanachuo kwa kutopata mahitaji yao kwa wakati mwafaka,kwani wanafanya mambo bila kujali wakijua kuwa hakuna atakaye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mwenye kunielewesha kuhusu hili suala la utoaji wa ruzuku(grants) kwa wanafunzi wa vyuo vikuu.Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba wanafunzi wanaosoma udaktari katika vyuo vya serikali km...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV-...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari wadau, nina ndugu yangu ana G.P.A ya 2.6,amemaliza diploma. Anataka kuendelea na degree, je inawezekana? Ushauri tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimeshkwa na butwaa pale nilipokutana na dogo katoka omba mkopo wakat matokeo hajapata hv n kweli heslb wameshndwa kuweka waz suala hlo mpaka wakakusanya pesa za watoto wa watu wakifel je...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ajira za walimu zilitangazwa kwamba zitaanza April 01, 2014. Kweli ikawa hivyo, wengi wakaenda Halmashauri na hata wakaripoti mashuleni. Utaratibu unawataka kupeleka cheque number ambayo ikifika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
waungwana naomba mwenye websites zinazotoa free online courses especially computer. nataka kusoma hizi habari. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji kushiriki kwenye semina yoyite ile au mafunzo yoyote yawe ya kijamii, uchumi,biashara, uongozi na hata utafiti niko tayari hata bila malipo nitashiriki. Yoyote atakae sikia nafasi hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toa changamoto ulizokutana nazo ktk shule yako mpya uliyopangiwa Karibu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dhamana ya ajira.waziri wa kazi G.Kabaka na crdb benk wawataka wasomi kuweka vyeti dhamana kupata mkopo.sos.mwananchi
0 Reactions
26 Replies
8K Views
JUZI JTATU NAMUULIZA DOGO WANGU VIP MBONA UENDI SHULE ANANIJIBU DARASA LA SABA WANAFANYA MTIHANI WA MOCK ... SWALI KWA WA JF 1. HIVI ILE NENO MOCK NI KIFUPI CHA MANENO FLANI 2.ILI NENO MOCK LINA...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni...
4 Reactions
97 Replies
10K Views
maana mm mwalimu mpya nataka kujua wametuongezea asalimia ngap? Ya mshahara wetu naomba msaada wenu wadau
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ushauri ndugu kama Title inavyosema hapo juu, mimi nina diploma ya afya na uzalishaji mifugo (DAHP) Nimehitimu mwaka juzi, sasa nataka kujua/ushauri nichukue bachelor ipi kati ya veterinary...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Back
Top Bottom