Wadogo zangu mliomaliza f6 mwaka huu,ongereni sana kwa kumaliza level ngumu na yenye changamoto nyingi.Serikali kwa kupitia wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa imearudisha mafunzo ya jeshi...
Hizi question marks nyekundu kwangu nikama mapambo kwani nikiweka mouse hazifunguki kunipa maelezo! Hapo kwenye B na C najaza namba katika mfumo upi wakuu? kila nikijaza naambiwa invalid index...
Ni muda sasa tangu serikali kupandisha boom kutoka 5000 hadi 7500. Kiasi hiki bado ni kidogo sana kwa maisha ya sasa hasa kutokana na mfumuko wa bei kila kukicha. Kumbuka kiasi hiki ni kwaajili ya...
hivi tunatambua kuwa walio maliza kidato cha tano wameanza kuomba mikopo
swali! je hawa watu wanaenda jeshini na vyuo hawaja chagua kyomba vyuo
itakuwaje nawakati wanarudi mwezi wa 9
je...
Ni baada ya wanachuo kushindwa kuvumilia hali ya sintofaham inayoendelea kukosa pesa ya mkopo,wanafunz hao wameita uongozi wa chuo na kuongea nao na walipokosa majibu ya kuvutia wanafunzi hao...
Wanajamvi habari!
Kwa niaba ya Kampuni yangu ya Mwangili Electronics Solution(MES), tutaendesha mafunzo ya muda mfupi ya kielectronics. Mafunzo haya ni kwa ajiri ya Wataalamu na wale wote wapenzi...
Kweli mimi nashangazwa na kitendo cha serikali kuto kutenga fungu kwa ajiri ya kuwapa walimu ambao wamethibitika kuwa wamepanga vyumba vya kuishi mtaani. Mwalimu kulipia pango kutoka kwenye...
wadau na wataalam wa kufikiri nawasalimuni.
naomba kuuliza mbona nkifungua OLAS inasumbua sana inasema cant connect to data base.sasa registration na ku fill form itafanyikaje
Habarini wanajamvi, mimi ni mfanyakazi ninayejiendeleza ki-elimu na Juni mwaka huu nataraji kumaliza Diploma ya Uhasibu. Natamani sana kuendelea zaidi ya hapa kwa kuwa nafanya vizuri. Naombeni...
Wanajamvi msaada kwa anaejua kuhusu quality of education inayotolewa Dar es salaam University College Of Education (DUCE) vipi kinaweza kua ni miongoni mwa vyuo bora nchini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.