Nduguzangu mambo niaje? Samahann naombeni mnisaikitu kimoko, utafanyaje endapo ukiwa unajaza form ya mkopo wa chuo na kabla huja maliza kujapa ikagoma kuendelea kufunguka page nyingne ili ujaze?
To all university student.
Jamani ... tume vumilia sana hii hali ya kukosa bumu ..
Lakin ina maanisha nn kwa bodi ya mikopo kutoa ela kwa baadhi ya vyuo na kusahau vyuo vingine ..
Toa maoni yako...
Hawa ndo wahandisi ambao kwa namna moja ama nyingine wanaumia sana kuona haki haitendeki kwa mnyonge, maamuzi ni kuonana na dvc asbuhii hii kama hana jibu cjui jitakacho endelea. where there is no...
Habari za mchana wakuu. Naomba keleweshwa kuhusu walewanao somea assistance clinical officer kwa miaka miwili je waneweza kuchukua diploma na kuwa clinical officer kwa mwaka...
NAIPONGEZA SANA SERIKALI KAMA IMEAMUA KUONDOA VITABU VYA ZAMANI.
Lakini angalizo langu ni swala hili liwekwe wazi kwanza uwepo mjadala wa mitaala kwanza watanzania waangalie nini mtoto wa shule...
Wadau heshima mbele
Nina ndugu yangu kamaliza form six mwaka huu. Kasoma CBG plus Basic Applied Mathematics. Kaniomba ushauri asomee nini. Nami naomba msaada hapa maana mawazo tofauti tofauti...
Hii tarifa ya kuweka vyeti vya shule/chuo dhamana ili upate mkopo CRDB mimi naona haiko sawa kabisa, kwa sababu unapokopa lazima urudishe mkopo uliokopa,
Je endapo utashindwa kurudisha mkopo...
Wadau kuna jamaa kaka yangu anamaliza TECU mwaka huu amepiga hiyo kozi, jana aliniuliza vipi kuhusu soko la ajira kwa kozi yake nikamwambia ngoja nilipeleke kwa wenyewe wadau wa elimu watafafanua...
Mm ni kijana mwenye umri usiozidi miaka ishirini na tano .huwaga najishughulisha na kazi za ufundi wa sofa na huwa natengeneza sofa nzuri kwakweli ila ninakuwa namashaka pale ninapokua nikitaka...
Habari Zenu Wapendwa...
Naomben Mnisaidie Kwa Anaefaham Hyo Kozi Hapo Juu Anifahamishe About Merits,demerits And Future Outlook (ntafanya Kaz Gan Nkimaliza Na Upatkanaji Wa Ajira) Yke Ikoje Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.