Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau naomba kuuliza,hivi mfano mtu akamaliza kidato cha 6 na matokeo yakatoka mazuri kuwa amechaguliwa chuo kikuu,akaamua kuminya mwaka huo ili aende mwaka unaofuata,nielezen ni hatua gan...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada msaada!!!!!, Ningependa mwenye taarifa zozote kuhusu shule hii "Umawanjo Secondary". Napaswa kwenda huko ila sijui iko Wilaya gani kati ya Njombe au Ludewa!...... Wana Janvi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wannajukwaa wenzangu? Naomba kuuliza. Hivi ni tovuti gani ambayo inaweza nisaidia katika kupata materials kwa ajili ya kufundiaha somo la English kidato cha nne????
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Hi guys.. Naomba kufahamu utaratibu uliowekwa na bodi ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo, wana-update vip taarifa zao ili kuendelea kupata mkopo kwa mwaka ujao wa masomo? I remember...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hali ya maisha ya wanfunzi wa SUA ipo matatani. Hii inatokana na kucheleweshwa kwa pesa zao za kujikimu kutoka loan board. Ni kama wiki ya tatu sasa imepita tangu tarehe rasmi ambapo pesa hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam!! Naomba kujulishwa kama kuna ulazima wowote wa form 6 waliomaliza mwaka huu kwenda jeshini kama walivyopangiwa. Je, ni lazima sana au mwanafunzi anaweza kuamua kutokwenda?? Na kama...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Chadema na siasa za unafki na uzandiki. Pole sana le professor Lipumba kwa kuwa akili yako ni sawa na ya panzi. Ni mwaka tuu tangia uitwe wewe ni shoga na Ezekiel wanje tena kwenye chombo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Serikali yetu ni sikivu japo kusikia kwake huwa ni kwa msimu na husikia sikio moja. Walimu tunaishi maisha magumu, mshahara kiduchu, nyumba za walimu hakuna! Mwalimu anatakiwa akapange chumba japo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE 2013 EXAMINATION RESULTS MUGINI ENG MED PRIMARY SCHOOL - P1303065 WALIOFANYA MTIHANI : 29 WASTANI WA SHULE : 228.5172 NAFASI YA SHULE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatujui cha kufanya...ni baada ya kutaka kugomo kuingia madarasani kwa sababu ya ukosefu wa bumu, tumeshindwa kufikia hatima yetu ya kugoma baada ya kutishiwa na mkuu wetu wa idara pamoja na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani mimi ni mwalimu nilyepangiwa katika halmashauri fulani lakini sikuwa na transcrip hivyo sikupokelewa/sikuaajiriwa na kuambiwa ntapokelewa pale ntakapoleta hyo transcript na chuoni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wanalugalo sec mpo? Nakumbuka enzi hizo za akina Jagafus, akina Chips nk. Ebu tukumbukane jamani japo wengi ni RIP kama Ester Makingi. Hebu kama mpo hebu jitokezeni basi.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa heshim , wana jukwaa wa jf ,hivi kama umemaliza Form six miaka minne iliyopita na sasa umeapply chuo Kwa zile Course ambazo ni priority kama engineer, education je Unaweza! kupewa mkopo na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hali ya chuo hiki maarufu kama saut Moro ni mbaya sana kwa kuwa imefikia hatua wanachuo wanashindwa kuhudhuria vipindi kwa hali mbaya ya kifedha inayopelekewa na kukosekana kwa boom chuoni hapo na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna uwezekano wa mwalimu wa prmary(certifcate) kuendelea kusoma dploma kisha degree bila kupitia A-level kwa prf.ya ualimu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo bodi ya mkopo kitakufikilia Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewae
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kuna watu humu ndani walisha wahi kusema unapofanya application za bodi ya mikopo cheti cha form 6 haki hakihitajiki. Je mbona kwenye zile form vyeti vyote vinahitajika F4 & F6 anae jua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilisoma degree isiyo na market sasa nimeapply pharmacy, hivi inawezekana kupata mkopo kutoka HESLB mara ya pili kabla ya kulipa wa kwanza?
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Hallo,jf,naomba kujua kuhusu course ya electrical engineering je,ajira zake zinapatikana au
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom