Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo chuo kitakufikilia Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama uko mkoa wowote wa kaskazini na maeneo ya jirani kama arusha, manyara, kilimanjaro, tanga, singida, dodoma, na mara tuwasiliane. Hakikisha ni sehemu ambayo naweza kusafiri na kufika Arusha...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Wadau naomba kujulishwa wapi wako vizuri kusoma QT ukiwa DAR.Kuna ndugu anatamani kwenda shule,nawasilisha kwa maoni.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nisijue walioko wizarani wanafikiria nini ila ukifuatilia mijadala mbalimbali kuhusu matokeo ya kidato cha nne, utaona wazazi na wahitimu wana sintofahamu nyingi na zenye kuumiza akili za watu...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Hebu tupange sk tukutanikie pale shuleni kwetu tuonane na tujadili mambo mbalimbali ya kuipaisha shule yetu jamani, kumbuka mkataa kwao ni mtumwa.
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Jamani Kwa Wote Tuliowahi Kusoma Au Mnasoma Shule Za Kyela Hebu Tukumbukane Kupitia Thread Hii Kwa Mimi Naitwa Daudi Nimesoma Shule Ya Nkuyu Na Kwa Sasa Npo Kyela
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani napenda kuulizia,form five selections kwa mwaka 2014,zitatoka lini?
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Jamani kuna ukweli wowote hapo kuwa kama usipoenda jkt Huendi chuo. ... great thinkers and great researchers mnasemaje kuhusu hili suala
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ninataka kwenda kusoma kilimo kwa ngazi ya cheti sasa kuna kuajiriwa serikalini baada ya kumaliza masomo na kufaulu? Naomba msaada wa jibu lako....,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cpa
Jaman anayefahamu new syllabus kwa masomo ya CPA kwa mtu mwenye Bachelor. Yaani nahitaji kujua anatakiwa kuanza stage gan?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau naombeni mnijuze wap naweza pata chuo kinachofundisha course tajwa hapo juu...tanzania au nje ya tanzania
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kunahabari nimeipata hv punde kuwa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kuwa wamebadili mihula yao kwa wale wadiploma wataanza mwezi wa tisa hizo ni tetesi tu badoo hazijasibitishwa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kukosa mshahara "kwenye mazingira ya kutatanisha' umefuatilia wee! Hadi basi mwishowe ukaamua kuaply plan b (wengine walikopa)., ukitegemea salary mwezi huu itaflow! sasa kwa kuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wale Wote Mlowahi Kusoma Baptist Mnahitajika Kuunda Jumuia Ya Tulosama Au Kufanya Kazi Hapo Haptist Magomeni,mjulishe Na Mwenzako
0 Reactions
0 Replies
754 Views
ni mtahiniwa wa mwaka 2013. Nilikuwa naomba kujua kujua nawezaje ku apply kwa kujiunga na masomo ya afya kwa vyuo vya serikali..
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Kama hujui maana ya chemba nenda shule za boarding za serikali zile za zamani (kongwe) hakika utazijua. Ni mahali ambapo kikundi cha wanafunzi kuanzia watatu hadi watano ambamo huwa wanapiga msuli...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanafunzi wa elimu ya juu hatujapewa hela zetu za mkopo,najiuliza kulikoni? katika utawala jambo la utoaji wa taarifa huwa ni muhimu watu angalau wapate matumaini! Au tunabaguliwa kwkuwa sio vyuo...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Oya vijana Kujifungulia Thread kila mtu akiuliza swali Lile lile tu Post lini post lini ! Mnachafua Jukwaa la waungwana ! Thread zimezidi sasa ! !
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Sorry jamani eti form six wameanza kuomba mikopo? na kama ndivyo hiyo form inapatikana wapi? NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nyumba kidogo nbaa walitoa rivised excemption policy ilisema kuwa kutakuwa na excemption ya paper by paper kwa watu waliosoma bussiness related subject(non accounting ) mm nimesoma corporate...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom