Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july
Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013
TUFANYEJE?
wanajf
kuna ndugu amemaliza kidato cha nne na kupata pointi 35, anataka kusoma nursery school teaching, je kozi hii ina tija? na ni vyuo gani vinavyotoa kozi hii?
Baada ya kifo cha ghafla cha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mamlaka Kuu ya Uteuzi imemteua Balozi Mwanazuoni wa Siku nyingi Mhe. Kuhanga kuwa Mkuu Mpya wa CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti...
Kuanzia mwaka wa masomo 2014/2015 waombaji wapya watatakiwa kuwa na alama(cut off) 4.0 katika kozi zote za sanaa, kwa kigezo hiki kuna watu wengi sana watanyimwa mikopo kwa kushindwa kufikisha...
samahan jamani kuna utata nimeusikia eti mmesikia kuwa majina yametoka ambayo wanaojiunga na chuo cha utumishi wa umma magogoni mwenye detail kamili anijuze tafadhali
leo mida ya saa 5 asubui wanafunzi wanaosoma Ruaha Univety Collerge wameandamana hadi kwa prinsipal na uongozi mzima wa Ruco wakiimba nyimbo za kutaka wapatiwe hela zao za boom kwa mala ya mwisho...
Suala ni kwamba kuhusu post za kidato cha nne 2013/2014 zinatoka lini mana mpaka sasa ni miezi mitatu tangu tumepata matokeo. kwa hiyo mwenye kujua naomba msaada nawasilisha wakuu!
naomba kujua,kwa form 5 wa mwaka 2014 kama nataka kuhama shule watakayo nipangia utaratibu ni upi?
maana nataka kuhamia shule ya karibu na kwetu ambayo sikujaza awali
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana
kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba
kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya
kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya
siri...
Serikali sikivu ya chama cha mapinduzi inaendelea kuwaadhibu watoto wa wakulima na maskini wa Tanzania wanaosoma vyuo vikuu kwa uchelewesha pesa za kujikimu.
Wamafunzi toka vyuo vikuu wa vya...
Kwa alama hizi D2 ya Geography na Kiswahil na B1 ya Kingereza anaweza pata chuo kipi nje ya Dar es salam kwa kozi ya Records au Human Resources kwa ngazi ya Certificate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.