Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman kuna taarifa zozote kuhusu ya kutoa post za form five 2014?naomba tuambizane bac kama kuna aliye ckia tangazo lolote kuhusu post zetu,ili tuandae nauli kabla bado mapema
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi hakuna adhabu mbadala kwa mzinifu zaidi ya kupigwa mawe hadi kufa? mods naomba mnielewe vizuri na msiondowe uzi huu nia yangu ni kujifunza tu. NB: KAMA SIO MUISLAM MWENYE ELIMU HII...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jaman naomba kuuliza kwa wenye taarifa....kuwa kuna uwezekano wa kulipwa pamoja Mwezi huu na mshahara wa mwezi April? Mwenye taarifa atujulishe jaman. Wale walimu wapya tafadhari
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wadau wa elimu, Naomba kujua ada pamoja na gharama nyingine zinazotakiwa kulipwa kwa mwaka kwa ajili ya kusomea diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali. Natanguliza shukrani kwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
UNIVERSITY OF ARUSHA Wizi wa laptop umeanza mfano Migombani Hostel Wizi wa Gas cooker umeanza mfano karibu na Meru supermarket Wizi wa ndizi umeshamiri mfano kariakoo na safari njema HAYA YOTE...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
walimu wa sekondari wilaya ya mbinga mmelipokeaje swala la kuweka kambi za kufundisha kwenye shule zenu wakati wa likizo? je unafikiri kuwa na kambi kwa muda mfupi wa likizo mnaweza kuboresha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanin taasisi husika imekuwa kmya had mda huu ktk utoaj wa post kwa kdato cha 5??
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari zenu waheshimiwa. Ninaomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Bsc in Engineering Geology, ipoje katika usomaji?; mkopo wanapewa asilimia ngapi?; na vipi mtaalamu wa kozi hii soko lake ni kubwa...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
dah!msaada et mwez uu au wa 6.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Majanga.. Serikali imesema kuanzia mwaka huu wanafunzi wa kidato cha nne wanaopata daraja la nne hawataruhusiwa kusomea ualimu. Watakao ruhusiwa ni wale wa daraja la kwanza hadi la tatu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Za saa hivi wadau. Kuna dogo wangu kamaliza form six mwaka huu na amepangiwa kwenda JKT kambini mwezi wa sita mwanzoni. Ni kweli wanatakiwa ku apply loan Board kabla ya kwenda JKT kambini.??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf imekaaje hiyo course nataka nikasome diploma.Ninachoomba kufahamu ni wapi haswa ina apply,soko lake kujiajiri na kuajiriwa lipoje? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Nimeanza ona harufu ya migomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote..vijana wa vyuo vikuu neno haki limeandikwa mara 372 kwenye biblia pia hata quran tukufu inaongelea hili neno haki....itakuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 na nina ufaulu wa division II points 18,LAKINI sitaki kwenda advance je ni course gan ya diploma naweza soma(sana course za sayansi)? ufaulu wangu masomo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa mara nyngne wadau!najua hiz koz zot ni nzur lkn vitu huzidiana!so nahitaj ushaur kabla ya maamuz,ip n nzur zaid(interms of every thing)ushauri wakubwa.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
kwa wapenzi wa novel, naomba msaada wapi jijini dar naweza kupata novel zifuatazo: 1. the rainmaker cha john grisham 2. overload cha arthur hailey
0 Reactions
10 Replies
2K Views
.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Poleni na pilila za hapa na pale wana JF. Naomba kuuliza ukirudia mtihani(kutafuta kredit) na ukafaulu vizuri.Je kuna uwezekano wakupangiwa katika shule za serikali?Natarajia majbu mazuri.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nendemi ofisini
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Back
Top Bottom