Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wadau Nina mdogo wangu alikua anaapply mkopo Online (OLAS), alifanikiwa kuweka password kama inavyotakiwa. Sasa kila akitaka kulog in system inamgomea na kuleta ujumbe kwamba details...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa...
1 Reactions
15 Replies
23K Views
ni vipi swala la kuapdeit mkopo limekaaje? site na kila kitu kinachohitajika?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
My computer writes Ctrl+Alt+Del Help me to make it oky
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Wale waliokuwa wamepangwa Kambi la RUVU soma kupata marekebisho (.VIJANA 1200 WAMEONDOLEWA KUTOKA KIKOSI CHA RUVU NA KUPELEKWA VIKOSI VYA MAKUTUPORA, MAFINGA NA WACHACHE VIKOSI VINGINE.) Pata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi nimepata 4.32 mwaka 2013 naomba msaada wa kujulishwa kuhusu kusoma PUBLIC ADMINISTRATION je chuo cha kozi hii kipo wapi? Ada, na kuhusu ajira zao kwa ngazi ya cheti.Ni hayo tu ndugu zangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za jioni ya leo? Naomba kujua shule zipi nzuri za serikali zenye combination ya HGK,nina mdogo wangu anasoma Musoma sekondari,anaingia kidato cha sita mwezi wa SABA,naomba...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habarin wadau wa elimu hapa., ni kijana wa kiume niliyepitia mitihan kadhaa katika maisha yangu, nimezaliwa kt familia duni sana, ni duni hasa yaani hata kipato cha laki 2 kwa mwaka ni shida(ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hey friends mm ni mwalim wa English,Geography & History mwenye degree , kama kuna tempo mahari kwa walio dar tustuane kupitia 0712707564 Mkwanja maelewanoooo!!!!!!!
0 Reactions
5 Replies
960 Views
Naombeni mnijuze kuhusu bodi ya mikopo,ni kweli form six waliomaliza may mwaka huu wameshaanza kujaza form za mikopo? Na kama ndio vp nawezaje kujaza form zao?
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
hii tution center, bado ipo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman najanza sehemu ya kufanyia teaching practice lakin nakuta kuna,somo limeandikwa physical education je ni elimu ya viungo?????
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nili-apply na kupata mkopo wa HESLB mwaka wa kwanza. Na nili-update information zangu kama walivokuwa wakitaka. Mwaka wa pili hawakunipatia mkopo wakidai kuwa siku-update mkopo...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Some of the parents from Magaoni village, Mabawa ward in Tanga urban listening attentively to representatives from Tanzania Education Network (TENMET). Maimuna’s family perception of her...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF mimi ni muuguzi ninafanya kazi wilaya ya momba mkoa wa mbeya hospital ya tunduma, naomba kwa yeyote anayependa kubadilishana kituo cha kaz kutoka wilaya yoyote ya mkoa morogoro, na pwani...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Wanajamvi Naomba mawasiliano ya chuo chautumishi Tabora.. website yao haifunguki..
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wadau wa Jukwaa la Elimu hamjambo? Mtoto wa dadangu (msichana) alifanya mtihani wa form 4 mwaka 2013 na kuibuka na matokeo yafuatayo: civics - D Hist. - E Geog - E Kisw - C Eng - C Biol...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka HESLB ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu wana jamii forum kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naingia diploma chuo kikuu cha tumain campus ya mbeya fulcuty BUSSINES ADMISTRATION na nataka mwaka ujao nifanye...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Back
Top Bottom