Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wana jf naomben kuuliza kuhuxu advance,nasikiaga kua advance kuna kurogana,pia hua kufundishwa ni mala moja moja ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayetaka kuhamia kibondo kama upo singida au dodoma tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Mnamo tarehe 10/5/2014 katika kuhitimisha juma la elimu kitaifa, Makamu wa Rais alizindua Programu Mahsusi ya kuinua ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T). Nimejaribu kufuatilia kwenye media lakini...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Kuna walimu wangi wameachwa bila kupewa ajira bask kama Kuna mtu Ana any neeeeez kutoka tamisemi naomba anijuze
1 Reactions
23 Replies
5K Views
mda mrefu sanaa nimekuwa nikisikia sifa za chuo hiki kongwe nchini bila kufahamu sifa hizi hutokana na nini, je, ni ubora wa elimu inayotolewa yaani wakufunzi? ni uzuri wa majengo yake? ni uwepo...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
MWL NIPO KOROGWE (TANGA) sekondari BADO NATAFUTA MWL WA KUBADALISHANA NAE KITUO CHA KAZI kutoka mbeya jiji au rungwe tukuyu MWANZONI NILIMPATA WA KUBADILISHANA NAE ILA AKAPATA MATATIZO MCHAKATO...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Law vs Computer Science vs Business Adminstration vs Community Development. Course ipi kati ya hizo ni bora zaidi at the Diploma level. Ahsante.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mwalimu wa sekondari. kwa ambaye yuko arusha anataka kuja tanga wawasiliane kwa 0752127080
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Habari Wakuu Nimepata tetesi kwamba kumefanyika mabadiliko katika Madaraja ya Ufauru kwa Advance Tafadhari kwa anae jua juu ya hil atujuze zaid.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwa wale mliokosa ajira subilia mda ci mrefu mtapata ajira
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika hali ya kusikitisha wanafunzi wa Ruaha University mkoani Iringa wameambiwa wawe wavumilivu kuhusu `boom' kwani bodi ya mikopo kwa sara haina fedha. hata hvyo ni UDSM pekee ndio wamepata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mwenye div 3 point 17 combination PCM yenye principal pass 1 tu na nyingine ni subsidiary pamoja na NTA-level 4; je anaweza kuchaguliwa kujiunga na degree.?
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Habar zenu wana jamvi nilitaka kujua hivi Tanzania tunasoma saa kwa kufuata majira ya nchi gan maana wazungu hawasom kama sis mfano ikifika saa 6 kamili saa inaonesha 12 kizungu wanasema six...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Dk. Shukuru Kawambwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nfunzi iliyoko katika kijiji cha Nyakasaa kisiwani Kome Wilaya ya Sengerema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://http://www.jkt.go.tz/component/content/article/98.html
0 Reactions
66 Replies
64K Views
Kama kichwa cha hapo juu kinavyojieleza jaman au mwenye oroza anipe.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani wana jf naomben mnijuze kama kuna anaejua kuwa post zinatoka lini tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom