Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Bofia hapa kujua. Hii Wiki jijini Mwanza: TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA - 2014
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I'm planning to study engineering this year but I'm stuck between a rock and hard place. Kwa sasa hivi ninaishi France lakini nina mpango wa kurudi Tanzania baada ya miaka 3-4 na nimeona njia ya...
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Habari zenu wadau! Ninaomba mnifahamishe ni wapi vinapatikana vyuo vinafundisha laboratory technical kwa ngazi ya diploma hapa nchini na sifa za kujiunga, natumaini mtanisaidia mana kuna dogo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Income from Employment Employment means a position of an individual in the employment of another person; a position of an individual as manager of an entity other than as partner of a...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Jaman wapendwa wana jf nlikuwa naulizia kwa anayefahamu kuhusu ajira mpya za walimu kwa wale tuliokosa post kwa awamu ya kwanza je serekal inasemaje? naomba mwenye ufahamu atujuze kuhusu hilo
0 Reactions
3 Replies
6K Views
As we move towards commemoration of World Environmental Day 2014, ForumCC launch writing competition on articles and poems, with theme of Wake up…Climate Changes…Adapt now. This theme intends to...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Introduction There are three types of VAT namely: (i) Consumption type (ii) Income type (iii) Gross produced (i) Consumption type: Capital goods purchased are treated like any other...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nimekuwa nilifatilia sana nikagundua kuna wanafunzi wengi hawamudu mahitaji ya chuo Kwanini serikali isilifirie hili kuwapa hata nusu ya mahitaji?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakati bodi ya mikopo wanatutaka tuombe mkopo kabla ya tar.30 juni, jeshi linatuhitaji tar mosi juni, na kundi jingine linatakiwa kwenda mwezi sept. halafu kuna site nimesoma kuwa matokeo yetu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unaitaji kujiajiri katika nyanja za mambo ya designing na printing unaweza kunitafuta kwa namba 0718 572 422 au 0754 570 510 ninatoa mafunzo kwa program za adobe photo shop, adobe indesign...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Introduction to Income Tax Income tax defined : In an effort to define the term "income tax", we need to ascertain the exact meaning of the term "income". Income can be defined as some benefit...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
I found list of Scholarships on this website. Owners of this website gather scholarships info from various scholarship providers and list on their website for Students to apply. I tried to apply...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
MZAZI MASKINI; Kazana kusoma mwanangu ufaulu vizuri mitihani yako ili baadaye uje kupata kazi nzuri utukomboe na umaskini huu. MZAZI TAJIRI; Kazana kusoma ili baadaye uweze kutafuta na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau, naomba kujua kwa wale wanaofahamu hasa walionitangulia na wenye uelewa wa hii progamu pengine wameisoma au ndugu zao waliifanya. Vipi hii program soko lake la ajira likoje? Nahitaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mniangalizie nimepangwa kambi gani ya jeshi.Jina David Peter David shule GEITA SEC S0386
0 Reactions
1 Replies
872 Views
kumekua na uhaba mkubwa walimu wa sayansi shule za sekondari, hii ni kutokana na walimu wa sasa wanao hitimu vyuo mbalimbali ni product ya shule za kata shule hizo nyingi hazina michepuo ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimesoma ktk kitabu chao ya mwongozo nimeona mwisho wa maombi ni tarehe 30/6/2014 sasa je kwa hawa wanaomaliza mwezi huu itakuaje?nawasirisha wakuu,
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jambo la kusikitisha sana mpaka saa hizi walimu wapya wa morogoro vijijini walioripoti tarehe 1 april mpaka 5 april hawajalipwa mishahara yao. kwa mujibu wa waziri tamisemi alisema wote...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa. Naomba kuuliza deadline ya kupokea application za post graduate diploma ni lini kwa UDOM? Mwenye taarifa naomba anijuze. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kugoma,kuacha kuingia darasani,kuandamana,kujinyonga,kurudi nyumbani,kuuza vitu vya ndani,kuwa chizi,kubomoa benki au kuwapiga mawe viongozi wa chuo ni baadhi ya mambo ya kufanya ili kuhakikisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom