Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naombeni kama kunayeyote ambae amewahi kukosea au kuchaganya chochote pale anapofanya usahili wakujiunga na chuo kikuu kupitia NACTE-CAS kama kuna uwezekano WAKU-EDIT/KUREKEBISHA pale ulipokosea...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi juzi juzi tu wakati mshahara haujaingia tulilalamika sana na kutoa maneno mengi, lakini pesa imeingia mbona hatusemi? Mie naanza, jamani huku Kyela hela imeingia kwenye account zetu. Na...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Hbr ya Leo wana jukwaa Nimesahau neno la siri la acc yangu ya siku zote. Nimejaribu sana bila mafanikio. Mwisho nimefungua hii ili nipate msaada wa kuifungua ile. Username ya cku zote ni...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
jaman wana jamvi hivi kati ya hizi kozi mbili ipi ipo poa zaidi!
0 Reactions
14 Replies
5K Views
wizara ya elimu wametoa tangazo lao la kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti. Ambapo sijaelewa ni kwa ngazi ya stashada. Hebu ona hapa chini MAFUNZO MAALUM YA UALIMU...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WanaJF naomba ushaur mdogo wangu ana4 ya point 26_(2012) naomba ushauri wenu asome mafunzo gan kat ya ualimu na kilimo? matokeo yake ni: civics_D, Hist_C, Kisw_C, Eng_D, Geo_D, Chem_D, Bios_D, Math_F
1 Reactions
9 Replies
2K Views
jamani naombeni ushauri nimefahulu masomo ya sayanc yote nina alama c, sasa lengo langu mm nikuw daktar baadae kwan hizo ni ndoto zangu na sitaki kutoka nje ya hapo sasa naombeni ushauri je...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau,,! Naomba kuuliza,,hivi kwa sasa kupata mkopo wa heslb kwa form six leaver,,kwenda jkt ni kigezo,? Au havihusiani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mali asili na utalii ninataka nikasome(basic technician certificate in wildlife management)je inalipa?,nina D ya bios na C ya geog o level.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nacte imeorodhesha vyuo vya afya ambavyo vitatoa mafunzo kwa mwaka wa masomo 2014-2015 kwa ngazi ya cheti na stashahada. vyuo hivyo ni vya serikali,taasisi za kidini na binafsi. Utata unakuja...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Jamaniii wenzangu haliiiiiii ntete mwenye taarifa za bumu anijuzee
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nifumbueni macho naskia kuna ahadi ya kuleta faraja kwa watumishi wa umma, kuelekea bajeti ya 2014/2015.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yeyote aliye na list ya wanafunzi wanaojiunga na jkt mweziujao anisaidie majina kutoka shule ya Geita Sekondari S0386 na kambi walizopangiwa.
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nimekuwa nikisikia vijana wengi wanalalamikia kufelishwa masomo au kucheleweshwa kumaliza masomo (graduation) hata kama wamefanya vizuri. Ajabu haya matatizo yako katika vyuo vikuu maarufu hapa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ule mgomo uliokuwa ukinukia na kutangazwa mitandaoni kuwa ungetokea UDSM umeota mbawa.Ilielezwa kuwa mgomo huo ungekuwa usio na kikomo na ulilenga kupinga kucheleweshwa kwa malipo ya fedha za...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
naomba munijuze mulioko dar au dodoma tamisemi watatoa tamko lini kwa walio kiss ajira au ndo ivyo amna kabisa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa Ukweli Elimu imeingia siasa,sijawahi kufikiria tutafika wakati wizara ya elimu itapanua wigo wa kufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kuongezewa grades ili kubeba groups za failures na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kujuzwa kama mtu akisoma postgraduate diploma ya education, anaweza kupangiwa kituo cha kazi katika shule za serikali mara baada ya kuhitimu masomo yake? Kama wanavyopangiwa wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tukiwa tunasherekea miaka mingi tu ya Uhuru nimeona ni muhimu kusimama kidogo na kutazama mfumo wetu wa elimu unamsaidiaje Mtanzania wa karne hii ya sayansi na tekinologia. Nadhani tutakubalia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanachuo wa jordan university wametangaziwa hali ya hatari kwa kuitiwa askari wa kutuliza fujo FFU kuzunguka maeneo ya chuo kila wakati. Hii nibaada ya kuzuka kwa tetesi kwamba wanataka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom