Nimemaliza diploma of Business Adm..Nataka nijiunge na OPEN UNIVERSITY,je ni sifa gan ninatajiwa kuwa nazo ili niweze chaguliwa kujiunga na OPEN UNIVERSITY kwa ajili ya masomo ya degree?
Jamani naombeni msaada wanajamvi kwa Program Bsc of Computer engineering and Information Technonlogy tution fee halisi ni shilingi ngapi?Maana kwenye TCU guide book ya 2014/2015 ada ya hyo...
Nimepata marks hizi kidato cha nne mwaka jana.Chem c,Bios B,Englsh B,Kisw B,Math C,Civics C,Hist C,Geography C na phy D,Vip naweza chaguliwa technical college kwa direct entry.Nilijaza 1st choice...
Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga imefanya kitendo kibaya kwa walimu wa ajira ya mwaka 2010 grade iiiA , imeletewa walaka wa kuwalipa walimu fedha yao ya nauli na mizigo lakini haikuwalipa...
Habarini????
Napenda kufahamishwa wadau ndugu yangu ambae ni mwalim amehama kituo kimoja kwenda kingine kwa kuomba uhamisho, je anaweza kulipwa fedha ya usumbufu?
Kwenye kituo alichohama...
Hadi kufikia Machi 31 mwaka huu, Wizara ya Elimu ilihitaji kiasi cha Sh86.5 bilioni kwa ajili ya mikopo ya wananfunzi, Bunge lilielezwa jana.
Mbali na kiasi hicho, hadi kufikia wakati huo...
Wana jf, ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwa hawa maafisa wa wilaya ya URAMBO. Pamoja na walimu kuripoti tarehe mosi aprili,lakini halmashauri haitaki kuwapa mshahara walimu wapya...
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni?
Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process...
Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima.
Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye...
Kama 7500 inamtosha mwanafunzi wa chuo kwa matumizi ya siku moja, kwa nini wabunge nao wasijengewe hostel wakae humo halafu wawe wanalipa 500 kwa siku kama wanafunzi wa vyuo, halafu badala wawe...
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule...
Hii ni kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi,vilevile wanadai mazingira mazuri ya kusomea na malazi.matangazo ya kuhamasisha mgomo,yamezagaa kila kona ya chuo,wanafunzi wote...
vipi hali wana jukwaa , nilikuwa na hitaji na wanafunzi wanaosoma katika hivyo vyuo nilivyovitaja hapo juu ,ningependa wanijuze kuhusiana na kozi ya CLEARING AND FOWARDING ikiwa bado inasomeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.