Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman naomba ushauri.ninamdogo wangu kamaliza 2010 fm4,ana dv 4.30.phy F, chem d bios d.anaweza akapata coz ya kilimo na mifugo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iv JKT kwa form 6 mwaka uu ipo,maana ad leo a2japata tarfa zzt
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Kesho tarehe 5/5/2014,wanafunzi wa Kidato cha Sita nchini wataanza mitihani yao ya Taifa ya kumaliza masomo ya Sekondari kwa ngazi hiyo. Nikitumai kuwa kila mwanafunzi alijiandaa kadiri ya uwezo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na boom kuchelewa , hali ya maisha imezidi kuwa ngumu mbaya huku ukiangalia idadi ya watu kubwa wanalalamika na kuishia kushindia mikate, hali hii inawafanya dada zetu even watafute...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
wana udsm mnaoneje tuweze kuungana pamoja ili kudai haki zetu za misingi tukianza na BOOOM? ebu tuache uwoga banah kwani tusip o angalia hati mae mpaka ------ yetu yatashikwa kiurainii!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ninaomba mnipe details kuhusu skul hizi kwa kusoma a level" [lugoba,bagamoyo,minaki,benjamini na mzumbe] kama unafaham chochote kati ya hzo skul naomba nijuze
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumechoshwa na polojo zenu patachafuka sasa iv WE BELIEVE AND WE CAN
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wandugu. Kutakua na training ya jinsi ya kutengeneza application za Android kwa siku tano pale Arusha Technical College kuanzia tar 12May 2014. Bei ni 80,000. Kwa reservation tuma sms...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna rafiki yangu wa kiume anataka aanze kusoma kama private candidate, makongo high school, sasa nauliza kama p.c huwa wanapata nafasi za kukaa bweni? Alishajisajili tiali ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpaka leo hatuoni jipya zaidi ya kushuhudia wahitimu wa sjut dodoma tu kupangiwa vituo vya kazi,sasa na sisi hatima ya ajira yetu ipi?jamani tamisemi muwe na huruma na watoto wa watanzania...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Jaman nan anajua bsc with educ in informatics anda mathematics,inahusika na nn hasa.
0 Reactions
1 Replies
881 Views
MWL (sekondari) natafuta mwl wa kubadilishana nae aliye MBEYA JIJI au TUKUYU aje KOROGWE MJINI,pia kwa wewe MWL ambaye unaishi mikoa ya kaskazini, korogwe ni sehemu nzur sana kufanyia kaz sababu...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
Inasemekan boom litatoka kuanzia tarehe 12 mwezi wa tano,sasa hali ilivyokuwa ngumu hapa chuoni ukipita maeneo ya hall 2&5 utasikia watu wanasema njaaaaaa...njaaaa njaaaaa,ndio wimbo.tutaamkiana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nataka kuifahamu benjamin mkapa sec. Il nijue hints zake zote pamoja na mazingira
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana wa jamii forum naomba mnisaidie eti ukiwa na d kwenye combi unayotaka unaweza kwenda form 5 shule za private
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Mwalimu wetu wa kwaya alizimia baada ya kufunga(fasiting)masaa 120. Kufikishwa hospitali madaktari wanasema hajala na ana vidonda vya tumbo. Wameshauri madokta kuwa mtu akitanga ni vema akapimwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari zenu wa kubwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, nimeambiwa kunaissue ya ku-update mkopo from loan na kila nikijaribu kufanya nashindwa hivyo tafadhali nilikuwa naomba msaada wenu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi mtu anayesomea kilimo ngazi ya stashahada huwa anaajiriwa na serikali au la?
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Wizara ya elimu imebadili madaraja yakujiunga na ualimu ngazi zote.ni wale wenye ufaulu wa daraja 1,2,na3.sourc mwananch
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatangaza nafazi za Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Stashahada na Cheti kwa Mwaka wa Masomo 2014/2015. Kuzidownload bofya link hizo hapo chini, ya kwanza ngazi...
1 Reactions
4 Replies
16K Views
Back
Top Bottom