Nimeshangazwa na habari kuwa katika kuokoa jahazi la STRABAG serikali imeomba bodi ya mikopo itoe fedha lakini bodi ikasema fedha ilienda DANIDA.Habari kamili iko kwenye thread kwenye jukwaa la...
anaejua anifahamishe jaman....kama mtu amesoma diploma ya mechanical au computer engineering anaweza kuaply kozi za biashara kama account,procurement etc
Naomba kuuliza!!!Nina shemeji yangu ana Diploma ya IT anataka kuendelea na Degree ameniuliza ni kozi gani tofauti na IT anaweza endelea nayo ambayo anaruhusiwa kuomba nafasi ya chuo?Na ipi ni...
News from heslb, wanafunzi wote wa vyuo vikuu vya tanzania fedha ya chakula na maladhi ya awam ya pili kwa masomo 2014/ itapitishwa mpaka mchakato wa maoni ya katiba kukamilika hapo tarehe...
Mm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka...
wana jamvi naomba msaada jinsi ya kuapply mafunzo ya shahada online,nikifungua moe sioni sehem ya kjisajiri online,je nifanyaje wanajamvi?naomba msaada wenu
Wadau ninaomba kuelimishwa juu ya kiwango cha kutambuliwa kwa vyeti vinavyotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na wizara ya elimu au maliasili na utalii nk, Hapa nataka kutofautisha na vyuo...
aman kwenu wadau,wakati napitipitia tcu guide book 2014/15 nikakutana na hii kitu 'enter the name of your final sitting primary school' halafu na hii 'enter the name of your fina sitting secondary...
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili wanafunzi wa vyuo vikuu nchini ambao wanadhaminiwa na bodi ya mikopo huku hatma ya wanafunzi hao kupata fedha zao za kujikimu kwa awamu ya nne...
Mwalimu Nyerere African Union Scholarships:
Special call for scholarship applications for female applicants only for Masters and PhD Programmes in Science, Technology, Engineering, Mathematics...
Asubuhi saa 12 taarifa ya habari Magic FM wameripoti kuwa zaidi ya wanafunzi 2000 kati ya 4000 watakaofanya mtihani wa darasa la saba mwaka huu wilani Karambo mkoani Rukwa, hawajui kusoma na...
Kama kchwa cha habar kinavyoeleza mimi n mwanafunz nilyemalza kidato cha nne mwaka jana na kupata 3 ya 25 je naweza chagulwa kidato cha tano au vyuo vya tek?
Nachukua Hii Fursa Kuwatakia Wadogo Zangu Kidato Cha Sita Kila La Kheri Kwa Mtihani Wao Wa Mwisho!!
Mwenyenzi Mungu Awaongoze Mfanye Vyema na Hatimaye Msonge Mbele Na Elimu Ya Juu!!!
Mkuu wa Chuo mwenye ekimu kiwango cha Professa ataweza kuikwamua Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere Kigamboni ili kiwe Chuo cha mfano Afrika Mashariki na Kati.Wahusika wangezingatia hilo kwani...
Samahanini wakuu naomba kufahamishwa muda wa kutuma maombi ya mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti daraja A unaisha lini? Na ni vitu gani mhusika anatakiwa kuambatanisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.