Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mpaka sasa jinsi gani viwango vya ufaulu na madaraja yaani Div I mpaka 0 kwa mtihani wa kidato cha sita havijawekwa wazi. Wakuu kama kuna mwenye kujua atujuze tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jaman mwaka huu jkt tunaenda???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jf!!!!. mimi ni kijana wakitanzania niliyehitimu mafunzo ya kilimo ngazi ya cheti (general agriculture) na sasa nataka nisome diploma ya mifugo ila sijui ni vigezo gani nifuate ili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ni miezi kadha selikali imetoa ajira ya ualimu ILA cha kushangaza walimu wengi wameachwa wenye sifa je mwenye fununu wataajiriwa lini au tamisemi itatoa Tamko lini naomba mnijuze mlioko jikoni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
No one doubt over importance of UDSM in biulding this nation,neither do I.Nowdays there are going stories around overt this university which some of them are true though many are exaggerated...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Jamani kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa gvnt History C kiswahili C English C Geograph C Civics B Biology D Chemistry E Math F naomben msaasa na kwa comb gani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu mwenzenu nawatafuta hapa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
mi imebidi niwaulize wadau mwennye inf atujuze bac
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kuna mjumbe yeyote anayo tcu guide book yq mwaka huu naomba anitumie kwenye whasapp yangu through 0758906933
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna success business plan that can make you earn up to 1.2 Millions in 90 days. QUALIFICATION Ambitious to succeed Have a dream Ready to work in a team System presentation will be held by POWER...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Hongera sana ewe mwalimu mwenzangu ambaye umemaliziwa pesa yako ya kujikimu pamoja kupata mshahara wa mwezi april, hali ni tofauti sana na huku kwetu halmashauri ya wilaya ya SENGEREMA! Pesa ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya msoto wa madesa&mtaa kwa miezi 9 sasa kivulini napumulia.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Mwanajamii??? Kama unazo au unamfahamu aliye na contacts [ phone number (s) ] za Afisa Elimu Sekondari- Wilaya ya Muheza, Tanga naomba unisaidie kadri uwezavyo nizipate kupitia PM (Private...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
msaada wana jf nina mdogo wangu amemaliza 4m4 mwaka jana kapata div3 point 31 je anaweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za serikali?
0 Reactions
24 Replies
25K Views
Ni watu wengi sana wemekuwa wakimlilia Mungu kuonyeshwa vitu ambavyo havionekani kwa macho ya kibinadamu. Lakini Mwenyezi Mungu amewanyima watu wengi sana hii 'Zawadi' kwa kuwa anajua wengi hawana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mida hii wadau? Ninaomba kwa anaejua ni lini wanaotaka kujiunga na ualimu wa shule za msingi wanatakiwa kujaza fomu za maombi ya kujiunga na vyuo vya serikali anijuze. Asanteni sana.
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Bunda. Shule ya Msingi Kibara B, iliyoko wilayani Bunda mkoani Mara, imefungwa na wananchi kwa muda kutokana na watu wasiofahamika kujisaidia kwenye vyumba vya madarasa, hali inayohatarisha afya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kijana amehtimu kidato cha nne mwaka jana na kupata C katka masomo yote ya sayanc je anaweza kwenda kusoma udaktari?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi all, In the last week of December and the first week of January, I saw some socialites posting the list of books they read in 2013. Some did it via their blogs, some via their social media...
11 Reactions
103 Replies
8K Views
Wandugu naomba msaada wenu katika hili! Nimebishana na baadhi ya waalimu,wanadai kuna ngeli 8 za nomino ktk kiswahili.Kuna kamusi moja imetaja ngeli 12 za nomino ikiweo YA-YA,I-I na U-U ambazo...
0 Reactions
14 Replies
15K Views
Back
Top Bottom