Ndugu zangu kuna utafiti nataka kuufanya juu ya jengo la Biashara la machinga complex Na proposal tayari nimeiandaa tatizo ni fedha za kufanya utafiti huo kama kunamtu anaconnection tafadhali...
Jamani najua hapa hakuna kinachoshindikana,nahangaika kupata matokeo ya kidato cha nne ya Singida sec-2009.
Hata link plz.
Natanguliza shukurani za dhati kwenu.
Wakuu habari ni shule gani nzuri na ufundisha vizuri sana masomo haya iliopo dar, kwa makini sana hasa hasa wilaya ya kinondoni na ilala na mwanangu nataka kumuamishia dar anasoma masomo haya...
Inasikitisha ninapoona idadi ya waalim wa masomo ya sayansi (chemistry, biology, physics na mathematics) inazidi kupungua kila mwaka. Mfano hai katika wilaya niliyopo walimu...
H2O: Dangerous Chemical! A student at Eagle Rock Junior High won first prize at the Greater Idaho Falls Science Fair, April 26. He was attempting to show how conditioned we have become to...
Wakati jana raisi akitangaza nyongeza ya mshahara kuna idadi kubwa ya walimu wapya walioajiriwa aprili ambao hawajapata mshahara mfano h/mashauri ya kilindi ni walimu wapya 15 tu walioingiziwa...
Jamani hebu mwenye kujua tarehe ya mwisho kupeleka barua za kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kwenda TAMISEMI ni ipi anijuze pia majina ya waliokubaliwa kuhama mara nyingi hutoka...
Katika miaka ya hivi karibuni wahitimu wa masomo ya sekondari wamekuwa wakiomba kusomea ualimu ktk vyuo vikuu kwa lengo la kupata mkopo. Lakini kwa mwaka 2014/2015 kipaumbele ni kwa waombaji...
please kwa anaye vijua vyuo hivi vya Ualimu Singachini na Mandaka naomba anielekeze jinsi ninavyoweza kufika kutoka Moshi kwa gari yangu binafsi. Pia ni km ngapi kutoka Moshi town au kutoka...
Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya...
mapema wiki hii nilinsikia naibu waziri wa tamisemi anayeshughulikia elimu ndugu majaliwa akiuhadaa umma kuhusu mishahara ya walimu wapya, alisema walimu ambao hawajapata mishahara ni kea sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.