Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Sio jambo la kustaajabisha kuona kila mwaka wilaya ya meatu kielimu kuwa mwisho mwisho katika matokeo ya kidato IV. Viongozi wetu hasa DEO Secondari kuwa mbabe na mwenye majibu ya kejeli kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tembelea link hii. www.uob.ac.tz
0 Reactions
11 Replies
10K Views
msaada wenu wadau nina ndugu amemaliza form four kapata four ya 31 kasikia tetesi serikali imetoa ofa kwa baadhi ya vyuo kikiwemo katoke bukoba mwisho div 4 ya 35 mda wa mafunzo ni miezi 6 tu kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Inakuwaje TCU iwanawapa uhuru vyuo vikuu hapa nchini kujipangia kuwa PASS ianze na kuendelea? Mfano mahususi ni vyuo vya watu binafsi kama SAUTI,JOSIAH KIBIRA NA MAKUMIRA ambapo 'C' HUANZA NA 50...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Hi! Natafuta mwalimu wa shule ya Msingi wa kubadilishana nae kituo cha kazi,Mimi nipo mkoa wa Katavi,Wilaya ya Mlele. Kwa Mawasiliano zaidi tumia namba hii +255752832995
0 Reactions
1 Replies
1K Views
10 SIMPLE WAYS TO INCREASE YOUR BRAIN POWER How often do you think about your brain? Do you ever stop to marvel at it’s incredible power and supreme cleverness? Or at least check in and give it a...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari za majukumu wadau, Nina Bwana mdogo wangu anataka kusoma Masters online,katika kuzunguka hapa na pale amekutana na Contact za chuo kinaitwa 'Assam Don Bosco' kipo India,baada ya kuperuzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba tusaidiane mawazo labda mi sielewi vyema. Ni kweli kuwa vyuo vingi vya ualimu vya serikali mtu akiteuliwa kuwa principal anakuwa amepewa mrija wa kuvuta utajiri ingawa nahisi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani wadau pamoja na wale tuliomaliza form 6,hivi ni kwel serikali haijatengeneza Leaving certificate? Maana headmaster wetu katuambia bado hazijaletwa,tujuzane please kama nyie wengine mnazo
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mdogo angu amefaulu kwa phy c chem c math c anashindwa kuchagua sehumu ya kwenda ADVANCE AMA CHUO msaidien kwa hilo wadau
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BILAL ISLAMIC SEMINARY, P.O.BOX 760, ZANZIBAR P1360-0176 Kumb. MTS.2/54/LXXXIX/29 Tarehe ya Rufaa: 16-Apr-2014 Maoni 011 CIVICS F F Haijabadilika 013 GEOGRAPHY F F Haijabadilika 015 ELIMU YA DINI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Muda umewadia kwa vijana kwenda kujifunza uzalendo na ukakamavu JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA SITA MWEZI MEI 2014 KUWA...
0 Reactions
19 Replies
16K Views
Wadau nisaidieni, kama una certificate ya NTA level3 ya laboratory assisant inawezekana kuendelea na NTA4&5?
0 Reactions
0 Replies
736 Views
wanajamvi hali nimbaya sana hasa viunga vyote vya main campus em wenyetarifa kamili watujuze iliwatu wawe namatumain ya kuishi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza diploma ya business adm katika chuo kikuu cha mtakatifu yohana Dodoma (SJUT), Napenda kujua ni vigezo gani vinazingatiwa na bodi ya mikopo mpaka mwanachuo kupata...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Professional editing and writing of research proposal and dissertation in a timely manner is available at reasonable charge. This professional service also includes: Proofreading and editing...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
nimshauri ipi kati ya hz huyu dogo kapata div 1 anataka kuapply baada ya kuusikilizia mziki wa advance alipokuwa akisoma pre form 5 pcm,mi nimemshauri aendelee atazoea hlf sa iv diploma wapo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
kati ya telecommunicatio,automotive na mechanical engineering ipi ni bora zaid interms of ajira na msuli wake darasan
0 Reactions
0 Replies
582 Views
tamisemi mbona kimyatoweni jibu la mwisho kama ajira ya ualimu awamu ya pili aitakuwepo watu wajue la kufanya kuliko kukaaa wamesubilia
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mwanafunzi wa kike chuo kimoja mkoani Tabora leo asubuhi amedondoka darasani baada ya kuchelewesha boom, kwa mjibu wa marafiki zake mwanafunzi huyo amekuwa akilalamika hana pesa takribani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom