Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kama title hapo juu inavyosema nisaidieni ili nijue
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu wana Jamvi. Naomba kujuzwa ipi ni kozi nzuri zaidi ya nyingine kati ya hizo tajwa hapo juu. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kitabu hiki muda si mrefu kitakuwa sokoni, kinatoa mwogoza jinsi ya kuwa mchoraji mzuri kwa kutumia autocad software ambopo kila civil student lazima awe na iyo software usikose kitabu hiki waweza...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
JAMANI TUNAHITAJI MA ARCHITECTURAL WENGI SANA TANZANIA, HIVYO BASI JIFUNZE KUCHORA KWA KUTUMIA AUTOCAD SOFTWARE KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI KWA KUTUMIA EMAIL HII eliasbuza4@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau kuna suala moja linalonitatiza tangu nimejiunga hapa chuoni,, NAOMBA MSAADA WENU TAFADHALI. Ni kuhusu neno DARUSO (kifupisho cha serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam) ambalo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. WanaJF nimelazimika kuomba msaada wa namna watakavyojiunga kidato cha tano mwaka huu kwani mpaka sasa nimechanganyikiwa.Kwa mujibu wa Sera ya elimu ya mwaka...
0 Reactions
15 Replies
25K Views
Nlikua najaribu kulipa loan application fee ya HESLB kwa M-pesa (Tshs 30,000). Sasa wakati nikifata process kuna mahali wakaniambia "Ingiza namba ya kumbukumbu." Mimi hiyo namba ya kumbukumbu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nimepata taarifa zisizo rasmi kutoka kwa mdogo wangu aliyemaliza kidato cha nne na kutusua vizuri tu katika mtihani wake, kuwa tayari majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2014...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Bunge la serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam,(DARUSO) lilikataa kuipitisha bajeti iliyoletwa na serikali siku ya jumamosi tarehe 31 juni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali ya wanafunzi DIT kushinikiza uongozi wa chuo kufutilia mbali swala la wenzao kutokufanya mitihani ya kumaliza mwaka wa masomo. Hii imetokana na wanafunzi takribani 620 kutoruhusiwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
NDUGU ZANGU NISAIDIENI ILI NIMSHAURI MDOGO WANGU,,,YEYE ANAPENDA UDAKTARI, SASA SIJAJUA HIYO FANI NA TATIZO LAKE ATAMUDU AU ASOMEE NINI. KAMALIZA MWAKA JANA SIX,, HAKUWEZA KWENDA CHUO MWAKA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu natafuta sehemu ya uhakika ya kujifunza ushonaji wa nguo,kudarizi nguo n,k
0 Reactions
0 Replies
870 Views
mpk sasa sijapata mshahar kisa tu nimetumia crdb, kwend kwenyew mjn tsh 15elfu kwa pikpik huku shule nina zamu,nasimamia mitihani huku kusahihisha brn du,mwl. mimi...wadau nioneshen njia nitoke...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nahitaji kwenda kozi ya udereva mwezi mmoja. Daraja A na D na leseni gharama yake ni Tsh laki mbili na elfu sita(206000). Mimi nina tsh 72500, bado tsh 133500 Namba yangu ya simu(airtel money) ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu! Kuna hizi shule zinazoitwa "Shule za wanafunzi wenye Vipaji vya kipekee vya kiakili." Kigezo pekee kinacho tumika kudahili wanafunzi huko ni "national exams". Nimekuwa...
2 Reactions
102 Replies
18K Views
Wakuu anae fahamu kuhusu program za hiki chuo kwa ngazi ya degree na viwango vyao vya ada naomba anijuze. Shukran!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kwa matokeo haya ya div 3 point 17 comb PCM principal pass moja tu na nyingine ni subsidiary pamoja na gpa 2.9 ya nta level 4. Je anaweza kuchaguliwa kujiunga degree? Majibu yenu ndio msaada kwetu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
habari wanajf, hivi kuna uwezekano wa mwl wa diploma kuchukua degree ya kozi nyingne tofaut na education kama accountancy au civil engnerng? Msaada wenu tafadhar
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza,shahada ya usanifu majengo inalipa?hasa kwa mazingira halisi ya kitanzania!?na pia kati ya architecture na civil engineering,ipi iko poa zaidi?asanteni!
0 Reactions
57 Replies
16K Views
<strong><em><em>Habari wana jukwaa , nilikua naomba kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu ku update taarifa za loan board kwa continuing students , maana nakumbuka mwaka jana tuli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom