Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Monday, June 9, 2014 Kenyan opens Kiswahili School in Australia 0...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau hii me naona inanichosha.Wazazi tunatumia hela nyingi kusomesha watoto tution na gharama kibao za vitabu na vifaa vingine,bado ukija nyumbani ukifanya homework na mtoto ni madudu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimepata mtu wa kunirudisha chuo tena baada ya mwaka jana kuishia diploma one kwasababu za kiuchumi kwani nilifiwa na baba sasa insu iko hivi huyu mtu anaetaka kunirudisha chuo kanipa option mbili...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna huu utaratibu uliozoeleka kwamba watoto wanaofaulu vizuri mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba na kidato cha nne huchaguliwa kujiunga katika shule zinazoitwa “Shule za Watoto Wenye Vipaji...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Nikija kupata uwezo nitafuta jkt kwani ni wasichana wanabakwa mno. Na waliolifuta hawakukosea.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers wamefanikiwa kulifumua danguro linalodaiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Naombeni ushauri ,ni chuo gani hapa D'salaam kinafundisha usimamizi wa fedha vizuri ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naona baada ya njaa ya muda mrefu na baada ya malalamiko ya muda mrefu sasa kilio kimesikiwa na mtonyo ushatupiwa ndani ya account za CRDB......mtumie kwa umakini na wengine baada ya wiki tatu ela...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama ni mwalimu wa sekondari, masomo ya maths, physics, chemistry, geography na biology na una muda kuanzia Jumatatu hii kwa week 2 basi niPM. Kuna mtoto wa form two anayehitaji intensive crash...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari. Naombe ushauri , ni chuo gani hapa D'salaam kinafundisha usimamizi wa fedha. Mfano banking,accountant,nk.Vyuo vimekuwa vingi sana na ni vichache tu ndio zinafanya vizuri katika ufundishaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa muda mrefu watanzania tumekuwa tukijitahidi sana kuiga utamaduni kutoka nchi za maghalibi kwa lengo la kujiletea maendeleo lakini tunaiga vitu vingi vya kutufilisi mpaka nch na...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Naomben msaad wakubw, course ip ni nzur kat y Clinical medicine na Labolatory Technichian naomben na ufafnuz zaid
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Habari wana Jukwaa La Elimu,.. Nina mdogo wangu anataka kujiunga na kozi za afya kupitia wizara ya afya,. Mwaka huu utaratibu wa kujiunga umebadilika, maombi yanatumwa Nacte kwa kujaza fomu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
TAASISI ya Sayansi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga, inatuhumiwa kuwatapeli wanachuo zaidi ya 115 iliyowadahili na kukaa chuoni hapo miezi sita kisha kuwafukuza kwa madai kuwa hawana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomb kuulza kuhus ada mwak huu hap DIT nishlng ngap na je kwny hy ada kun kul na kulal hum au?
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Habari zenu wakuu,nina mdogo wangu amemaliza fomu 6 mwaka huu,nilikuwa ninahitaji kujua namna ya kutuma maombi ya mkopo maana naona karibia kila mwaka taratibu zinabadilika nimepitia website ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
jamani mi nawaomba yoyote mwenye taarifa anipe halafu naomba ushauri mi matokeo yangu ya diploma yanatoka mwezi wa nane je ninaweza nikawahi kuomba nafasi ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanatoa kesho! Be care!!
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Takribani wanafunzi zaidi ya Elfu 23,000 waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu mwaka huu wamekosa mikopo kwaajili ya kuwawezesha kusoma Elimu ya juu. Hawa ni watanzania na wengi wao ni masikini...
2 Reactions
61 Replies
7K Views
Back
Top Bottom