Poleni na Majukukumu , nahitaji review questions na answers kwa MBA kwa masomo ya marketing,decision making na Financial Management.Kwa yeyote aliyonayo naomba tuwasiliane.
Jaman wanajukwaa, kwa heshima na taadhima ni mara nyingine tena najitokeza jukwaani, ni mara nyingi huwa najiuliza sana ni kwa nini herufi ziligundulika na hakuna zaidi ya Z. ni vigezo gani...
habari zenu wana jamvi kwanza natanguliza shukrani zangu kwenu wana jamvi kwa ushirikiano wenu mchango wenu ni mkubwa kwangu.
Nawaombeni mnisaidie kwa hili mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha...
Wakuu,naomba msaada wa kujua review classes ama wale wanaojiandaa kufanya mitihani ya bodi ya ugavi kwa stage yoyote ile kwa MOROGORO.nashukuru sana kwa msaada wakuu.
heshima kwenu wanajamvi, ningependa mwenye kujua kituo kizuri chenye walimu wazur kwenye review classes za mitihan ya bodi ya wagavi. Pia kiwango cha ufaul kwenye hvyo vituo..natarajia kuja huko...
Chunguza Wadada Wa Vyuo Vikuu Ambao Tunasema Ni Miongoni Mwa Wasomi Ambavyo Suala La Ngono Wanavyolichangamkia Pamoja Na Kupewa Elimu Ili Wajikomboe Kifikra Lakn Patupu, Kwa Nawapa Pole Hata...
Vodacom mmepewa tenda na bodi ya mikopo kwa ajili ya malipo ya maombi ya mikopo ila kwa nini vodacom M PESA Haitaki kufanya hayo malipo toka asubuhi tunajaribu kulipa hapa ila majibu yenu ni...
Nimemaliza masomo yangu ya shahada ya uzamifu. Nina knowledge katika mambo mbalimbali hasa upande wa sayansi asilia (natural science). Kama sehemu ya kumshukuru Mungu kwa mafanikio ningependa...
Wakuu poleni kwa shughuli naomba kujuzwa kwa tetesi hizi kuwa bachelor of midwifery inayotolewa mhimbili na Udom imefutwa na badala yake itakuwa kwa masters tu.
Ndg wanajamvi,poleni sana kwa majukumu ya hapa na pale. Naomba kujua kama hata kuna tetesi juu ya selection za kidato cha tano 2014, maana jambo hili lipo kimya sana.
Ahsanteni.
Wadau kwema naomba kupata list ya vifaa vinavyotumika katika maabara ya Fizikia kidato cha Sita kwani ninataka kufungua maabara ya somo hilo !
Ahsanteni wadau
Nimeshangaa sana hapa st joseph department ya civil engineering, karibu malecture wote wa civil engineering wanatoka vyuo hivyo tajwa haga juu.
Ns kama mjuavo hapa kwetu masomo huwa yanaisha...
Anyone who will be the first to answer the following question correctly will stand a chance to win an air time worth Tsh 10,000! NOTE:Only answers are required, no calculation method needed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.