Do you have relatives who wish to have Advanced Maths lessons at home?
OR
Have you ever wished to have Advanced Maths lessons at home?
For Maths lessons at home contact us through...
Naomba msaada wjf.Mimi niliwahi kuwa mwalimu kwa muda wa miaka 18 nilipotoka serikalini na kujiunga na private sec schools.Umri wangu wa kustaafu umefika je naweza naweza kupata mafao yangu kwa...
Wahadhiri katika chuo kikuu cha Dodoma wagoma kutoa na kusimamia mitihani wakishinikiza kulipwa pesa zao wanazo kidai chuo,na hivo kusababisha kutofanyika kabisa kwa mitihani katika college ya...
Waku labda mi cijaelewa masharti ya bodi ya mikopo elimu ya juu 2014/2015 kuna kipengele kinasema aplicants must be completed diploma more than three year ago wana maana gan? Je watu wenye sifa...
Kama kuna kituo chochote wanachofundisha french kwa wasiojua kabisa jamani kwa hapa mwanza naomba anielekeze au ka inawezekana anipe na mawasiliano ya hiyo insititution
JIPATIE DVD ZA KUJIFUNZIA KIINGEREZA
ENGLISH DVD part 1 of 5
CONTENTS:
1.Greetings
2.More Greetings
3.Greetings Throughout the Day
4.Useful Expressions
6.Introducing Yourself
7.The...
wadau mm nataka kujua maana naona bajeti imesomwa ila cjajickia km kuna ongezeko au upunguzwaji wa kodi katika mishahara yetu km kuna mdau anajua bhasi anifahamishe
NIMEIKUTA MAHALI SIJUI NANI KATUNGA HII!
WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOLS.L.P 7677, MASAKI.MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.
MAELEKEZO
.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi...
Kuna fununu kwamba waalimu wa COLLEGE YA HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCES wamepanga kugomea kusimamia mitihani yetu tunayoanza kesho kutokana na malimbikizo ya miaka mingi ya malipo yao...
Shikamooni wakubwa.
naomba msaada wenu nimechaguliwa kua
mwenyekiti kwenye group yetu ambayo
malengo tuipeleke mpaka ije kua taasisi
najaribu kukataa kwamba sisitahiri kutokana
na elimu yangu...
Shikamooni wakubwa, naomba msaada wenu nimechaguliwa kua mwenyekiti kwenye group yetu ambayo malengo tulipeleke mpaka lije kua taasisi. Najaribu kukataa kwamba sisitahiri kutokana na elimu yangu...
Since so then in 1960s our education has remained worthless and nothing.
Wazee wanaisifia elimu ya enzi zao kuwa ilikuwa bora zaidi lakini mimi nasema hapana maana haikufanikiwa kabisa...
Kwa wanafunzi wa kidato cha nne 2013 wanaosubiri kupangiwa nafasi za kujiunga na kidato cha tano ni kwamba post zitatangazwa rasmi tarehe 30 june, yaani mwezi huu kwa hyo kaeni mkao wa kula.
nimepata wazo kua sasa ni wakati wa kuwakumbuka wadogo zetu na watoto wetu wa sekondari hasa katika upande huu wa elimu.elimu yetu imekua mbovu na hasa wakati huu wa kampeni ya BRN.wazaz wamekua...
Wakuu nimesoma Kenya chuo mwaka wa kwanza sahivi nataka kuhahamia Tz nmeomba credit transfer UDSM wameniambia siqualify sababu nmesoma system ya Kenya, naweza kujoin chuo gan kingine hapa bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.