Hongereni wadogo zangu kwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano maana huo ndio mwanzo wa mafanikio. Ushauri wangu kwenu, daraja mnaloingia sasa ndipo unapoweza kutengeneza au kuharibu maisha...
nilipita mchana mkowa wa TABORA wilaya ya IGUNGA . kuna tatizo la mgomo wa walimu . walimu wanadai mishahara ya miezi miwili . cha kushangaza ni kwamba halmashauri ya IGUNGA inasema itawalipa...
Nauliza kama kuna mwenye majina ya waliochaguliwa vyuo vya ufundi hasa vya ualimu na vingine kama vipo na majina kama yapo kama vipi myaandike hapa hapa.
Wakuu, nina mdogo wangu yeye kachaguliwa ATC (Electrical Engineering) anataka kubadilisha ili apelekwe DIT (Electrical Engineering).
Sasa, swali langu ni kwamba, mwenye kujua...
Poleni na majukum ya kila siku?
Ndugu zangu nina shida na mtu mwenye mawasiliano na mwalimu mkuu au mwalimu yeyote anayefundisha Nyakato High School(Bukoba) , msaada wenu ni muhim sana na...
Habari wana JF, naomba msaada nifanyaje, dogo alichagua comb ya cbg ila shule aliyo pangiwa ndo wana anza mwaka huu kuchukua kombi hiyo.
Dogo hataki shule hiyo anaka aende Loleza, dogo ni...
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa sisitulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lakini sijachaguliwa na badala yake...
Sidhani kama ni kawaida kwa vyuo vingne kukataa matokeo ya mwalimu fulani kuwa eti wanafunzi wamefaulu sana na arudie upya kusahihisha wakitaka wanafunzi wafeli ili uongozi upate pesa za...
Habari zenu wakuu naombeni msaada kwa yule anayefahamu kuusu selection za kwenda vyuoni kwa wahitimu wa kidato cha 4 mwaka huu kuna baadhi ya vijana hawajapata post za kwenda kidato cha 5 sasa...
Karibuni!!
Central Line Research Associates (CELIRA)
Announces
A Dissertation/Research Project Report Writing Training Workshop 2014
Target Audience: Postgraduate students in...
kuna rafiki yangu kasoma sheria anataka asome masters ya education kuna kaka kaniambia eti anaweza kupewa postgraduate diploma in education na masters at the same time is it possible friends?
Leo wakati natoka kazini,kuna jamaa yangu kaniambia tupitie stationery kununua KITE(kishada)eti mtoto wake ameagizwa shule mzazi amnunulie kesho aende nacho,nikashangaa sana sababu hyo ni kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.