Huu ni Uzembe au ni makosa ya wizara ya elimu?
Baada ya serikali kuwapanga vijana wa kidato cha tano haya yamejitokeza,
1. Watoto wa kiume wamepangwa shule za girls tupu.
2. Majina ya watoto wa...
Habari waungwana!
Nina kijana wangu wa kiume nataka nimpeleke secondary ya bweni. Ombi langu ni kwa ambaye anaifahamu shule mojawapo ya bweni inayofundisha vizuri au ameisikia kutoka kwa jamaa...
Tafadhali sana waziri wa Tamisemi George Mkuchika tuondolee rushwa halmashauri ya moshi!Watumishi wa idara ya Elimu Halmashauri ya Moshi tumechoka na vitendo vya rushwa vinavyozidi kushamiri siku...
Nilikua na division III 29 ila sijapata kuchaguliwa, hivyo basi naombeni mawazo yenu nini cha kufanya?
1:Kurisiti
2:Chuo(chuo gani)
3:Jeshi(kama nafasi zipo)
4:PolisiI (kama nafasi zipo)...
Habari zenu wana JF naombeni ushauri;nahitaji kusomea BED in mathematics ila sijasomea hesabu form 6, nimesoma o-leval nilipata C ya hesabu kwani nilikuwa naipenda sana hesabu mpaka leo bado...
Wana jamii, nauliza kuhusu haya maswala ya umeme mimi nasomea umeme hapa veta lakini nipo beginner mi naulza kwamfano nikimaliza kozi yangu serikali itatuchukua au mimi mwenyewe nitafute kazi au...
Wakuu ktk jf salaam.
Nina mdogo wangu aliyehitimu form 6 mwaka 1994 na alipata alama zifuatazo:
General Studies = F
Physics = E
Chemistry = S
Adv Maths = S
Naomba mnisaidie iwapo kwa utaratibu...
leo ni siku ya tano,hakuna hata trace?what does intelligence do in this country?it is difficult to understand who is responsible? is it CUHAS?is it government?is it unidentified individual...
Habari wana JF, Leo naomba niongelee maana za maana ktk lugha , Ktk lugha kuna aina mbalimballi za maana. Na aina hizo ni kama vile 1) Maana ya MSINGI 2)Maana ya KISARUFI 3)Maana ya ZIADA...
Natamani sana kusomea udaktari(md) ila adv.physics ni shida kwangu, yani bora adv.math., ndomana nimeshindwa kusoma pcb.
Sasa sijajua cbm mwisho wake!! Nijuzeni wadau.!
habari raia wema, binafsi nina mkanganyiko kichwani mwangu nahitaji kujua uhusiano, matumizi na ushabihiano wa maneno yafuatayo;
1/njozi na ndoto,
2/lakini na yamkini.
shukrani.
Dah!Labda Hapa Naweza Nikajibiwa Swali Langu,
Jaman Kwa Anae Ijua Shule Ya Sekondary Mbekenyera Iliyopo Mkoani Lindi Naomba Anijuze,Ipoje Kitaaluma
Asanteni
Wanajamii forum napenda kuwaulizeni.inamaana kuwa humu ndani hakuna anae ifahamu vizuri MBEKENYERA SEKONDARI kama yupo namuomba anisaidie kunipa taarifa za hiyo shule hususani kwenye masuala ya...
Msaada wa ndugu, mimi pale kwenye selection status wananambia"not yet processed" na kwenye met min requirement wananambia "checkin in progress"
Alafu selection...
Ndugu, hatimaye mwanangu amefanikiwa kuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano, bahati mbaya yeye anatokea Arusha na amepangwa Njombe Sec, kiukweli mimi kama mzazi ningefurai zaidi angefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.