Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Je unadhan,wale wahali ya chn kama mim 2taweza kumudu kiwango cha ada kilichowekwa? lak 3chet,lak 4 na 6 kwa stashahada?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shule ipo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, ina o-level(boyz&girls) A-level(boyz) shule ipo mtaa wa Uzunguni, ina bweni(kwa A-level tu), walimu wapowapo na mazingira ni mazuri kujisomea.. Nimemaliza...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Wakuu naomba kujua faculty za chuo kwa combination ya CBA na qualifications za kusoma faculty flan au kama kuna link yoyote ili niweze kuziona
1 Reactions
14 Replies
10K Views
naomba mnipe details zake na kama kuna mtu anaenda hapo anifahamishe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku zinazidi kuyoyoma alafu ninatakiwa niripoti shule lakn mpaka leo sijapata join instruction
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu mwenye kujua jinsi ya kupata joining instruction ya Mzumbe anisaidie
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi ni kweli wadau wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa watachaguliwa awamu ya pili? daah kama...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Wale wa kwa Rashid, Ratiba imetoka wadau, Shule inaanza rasmi kesho I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Wanajf, heshima kwenu. Naomba niwajuze kuwa, kuna jamaa anamiliki computer kadhaa alizoweka shule ya msingi annex, lengo lake ni kuwafundisha walimu wa shule za msingi, cha ajabu walimu wake...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hatimaye serikali yapandisha ada kwa wanaosoma vyuo vya ualimu kwa zaidi ya mara mbili ya iliyokuwepo awali(grade a watalipa Tsh 300000,diploma arts Tsh 400000 na diploma science Tsh 600000)je...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
IT
Chuo gani bora hapa tz chenye kutoa course za Information Technology (I.T)? Ikiwezekana ningeomba nipate na website yake.
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Jaman naomba niambien ada yake (bwen), na muhula wa masomo unaanza ln? asanten
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau naombeeni kusaidiwa solution manual ya kitabu hiki System Dynamics for Engineering Students: Concepts and Applications , by Nicolae Lobontiu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kusota na masomo ya elimu ya chuo kikuu kwa muda wa miaka minne(huku ikitakiwa miaka mitatu tu). Hatimaye, japokuwa ilikuwa safari ndefu, imefika mwisho wake. Mchanganuo, 2010/2011-...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
WALE WA NBAA MATOKEO HAYO... National Board of Accountants and Auditors - NBAA http://www.nbaa-tz.org/examinations/results/may_exams/CPA%20List.pdf
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau wa fani ya uhasibu, hii inawahusu.. Hatimaye sasa NBAA wametamka rasmi na kuweka syllabus mpya hadharani ambayo itaanza kutumika effectively kuanzia tarehe 1 July 2014.. For more...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Myovozi high school iko mkoa gan na wilaya gan wapendwa mdogo angu kachaguliwaa chondechonde
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Npo Ludewa{Msingi} nataka 2badlshane na mwl. toka mikoa yo2te icpokuw mikoa y kaskazn, 2tachat then 2tapeana no. za cm.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Myovozi high school iko wilaya gani wapendwa mdogo angu kachaguliwa
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…