Mimi ni mhtimu wa 4.mwaka 2013 na matokeo yangu ni div.4.32 na nimefeli chem kwa kupata E,na math F, Pia nimefaulu engl C,na kisw B,yaliyo baki yote D.Sasa naomba ushauri wako kuhusu kusoma chuo...
Wanafunzi wa Kidato cha Nne, watafanya mitihani miwili ya Taifa mwaka huu, baada ya kuongezwa mtihani wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), ambao utatumika kuwapima walivyojiandaa na Mtihani wa Taifa...
Wadau wangu
leo nina zawadi kubwa lakini
naombeni mjibu maswali yafuatayo.
(1) Nitajie jina la ndege
ambae jina lake ukitoa herufi
mbili za mwanzo unapata jina la
samaki na ukitoa mbili za...
habari zenu wakuu,
naomba wenye ujuzi na vyuo mbalimbali (vya binafsi na vya serikali), wanitajie vyuo bora katika fani ya Finance and Banking ngazi ya Diploma, Degree na Masters.
NDUGU YANGU KAHITIMU KIDATO CHA IV NA TAYARI KAPATA MATOKEO YAKE JANA KWA ALAMA TATU ZA C, MBLI ZA D,MOJA E NA F MOJA KWA JUMLA YA ALAMA 35.
SWALI KWA MWENYE KUJUA ALAMA ZA KUENDELEA KIDATO CHA 5...
Naitwa shaaban Haufi mhitimu wa kidato cha nne 2013(SHULE YA KATA),nikiwa bado O-Level,ndoto zangu ilikuwa kuhakikisha nasoma kwa bidii hadi nifaulu Kuendelea na masomo advance-university,hatimae...
Habarini wakuu,
Nina E ya kemia na C ya biology A level natafuta chuo cha serikali cha afya. Please, naomba kusaidiwa:
1. Vyuo vipi hapa nchini vinanifaa?
2. Ada ya vyuo vya serikali ni sh.ngapi...
Tangu watoe ajira za walimu 2013/2014,kuna wahitimu wengi wa vyuo mbalimbali tumekosa ajira mfano mimi chuo chetu korogwe tupo stashahada takribani 195 tumekosa ajira,hatuwezi kuilazimisha...
Naomba msaada kwa hili hv ukimaliza kusoma hiyo kozi kwa mwaka mmoja je utaanza tena miaka miwili kwa ajili ya kusoma ualimu daraja A au utaingia moja kwa moja mwaka wa pili ili kusoma tena ualimu...
Mm nina. Mdogo wangu yuko chuo hicho anachukua clinical assistance mwaka wa pili na chet chake o-level kina ufahulu wa D ya biology tu. HIV ATAKUBARIWA KUFANYA MTIHAN WA MWISHO (NACTE )
Habari wakuu,
Nimepata simu kutoka kwa rafiki yangu akinieleza kuwa mwanae anayetegemea kurisit ameshindwa kupata usajiri kwani kila akijaribu ku-add namba ya mtihani ya shule alyofanyia mtihani...