Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wana JF, Wale waliokua wanasubiri kuanza application za mkopo hii ndo time yao kuanzia april 16 2014 na mwisho wa kupokea maombi ni 30 june 2014 SOURCE :HESLB website
0 Reactions
10 Replies
4K Views
kwa jina naitwa shabani ni mwanafunzi nilie hitimu o-level mwaka 2013 na kupata matokeo yafuatayo PHYSICS-B ,CHEMISTRY-C ,BIOLOGY-B+ ,B/MATHS-B ,ENGLISH-B+ na C kwa masomo yaliyobaki. na kipindi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kuna tetes et robo ya walimu sekondari wanafundisha somo la kiswahili na historia je wadau leten ukweli hapa jamvini
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii ni kozi inayotolewa kwenye shule ya biashara (Udbs) pale chuo kikuu cha dar sehemu ya mlimani VIP kama kuna mdau yeyote anaifaham vizuri kwa maana ya fursa na changamoto kwa mazingira ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakubwa naomba kuuliza nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata div 3 ya 30 naweza kupangiwa shule form 5 english B kiswahili C history D physics D chemistry D biology C mathematics E...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Deleted
0 Reactions
2 Replies
4K Views
zipi ni considerable procedures on writing a composition and invitation card
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Iv form 4 mwenye D bios na E chemistry anaweza kusoma nursing?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaaam wakuu(humu ndani kila mtu mkuu mmh hadi mwanafunzi wako )!! ......Basi bwana shule ipo kidigitali zaidi si tumekabidhiwa full mapowerpoint,macomputer mpakato(laptop) kila mwalimu na yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa yeyote yule aliyegraduate PGDE Open university of Tanzania naomba anisaidie jinsi ya kuandika project au guidelines za kuandaa project coz hawa jamaa huwa hawatoi chochote wanasema tubuni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa nasikitika sana kuwa pamoja na kuweka zawadi ya pesa maprogrammer 36 walioshiriki katika Quiz hii wameshindwa kupata swali lile jepesi kabisa ok hii ni video ya jibu...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Petroleum engineering pale UDSM ina uhusiano na gas ya kule mtwara?au kuna GAS engineering? Mr.Theraja, Muscat, Oman.
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Open University Of Tanzania has been ranked as the best Open & Distance Learning (ODL) in Africa which offers "Quality Education" at affordable costs. Come all, enjoy and get what you can't get...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Muda siyo mrefu nimeona Tangazo la Shule ya PERFECT VIRSION wakiangaza kuwa Eti ukiwa na 'D' 3 unaendelea na Kidato cha 5 . Hiyo nikutokana na Taarifa za mabadiliko katika Wizara ya Elimu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari wana JF.. Naomba kujuzwa NGO zinazohusika na mambo ya ustawi wa jamii kwa Dar es salaam! Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman wadau kuna mtu kapata div.zero kidato cha nne mwaka 2012 anataka kusoma veta so,kasema tumshauri akasome fani gani kama akipata hiyo nafasi ya kusoma veta.USIMTUKANE MPE USHAURI TU!
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Jamani wakuu naomba kwa yeyote anaefahamu jinsi ya kuomba nafasi ya mafunzo vyuo vya ualimu inakuaje? Msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada kwa hili jamani,hv vyuo vya afya vya private wanaweza kukuchukua ukiwa na alama D mbili na E moja ktk masomo ya phy,chem na bios? Nina div.4.32
1 Reactions
7 Replies
2K Views
nasikitika kwamba baadhi ya wilaya hazijawapa walimu pesa ya kutosha za kujikimu walimu wapya licha ya kuwapeleka vijijin kusikokuwa na huduma za mhimu. Je wanaanzaje maisha walimu hawa kwa pesa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za jumapili humu ndani,nna shida ya jinsi ya kuelewa hiki kitu,nimejaribu kufanya test zilizopo online lakini napata score below average,na nnahitaji kuielewa kabla ya mwisho wa wiki ijayo...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…