hatimaye mkuu mpya wa chuo cha saut mwanza aanza kazi baada ya fr. mgeni kujiuzulu,hyu nae ni fr. ametokea Jordan university ambayo ni branch ya saut,fr. kitima kaiacha pabaya sana saut mpka leo...
wadau kuna tetesi eti ni lazima kila mwaka ua UPDATE MKOPO kwa wale waliopata
? kama ni ndio how can I do it. mi ni first year and sijui jinsi ya kufanya ivo so kwa anaejua tusaidiane
Wenzangu wana JF,
Ninaelewa kwamba hakuna taifa lolote lililoendelea duniani pasipo kuimarika kwa elimu. Nimeyapitia kwa haraka haraka matokeo yaliyotangazwa jana na nimegundua matatizo ambayo ni...
Wakuu naona tiyar CAS ndo wameanzisha system ya kuomba nafas hizo kupitia wizara na NACTE na sio chuon tena kama ilvyokuwa kwa vyuo binafsi,application deadlines ni 30 may 2014
Habari wana jf? Nina shahada ya History (BA.History). Advance nmesoma HGK. Natafuta shule nifundishe history, pia naweza fundisha geography. Atakaenihitaji tuwasiliane 0765201963.
Mimi mwalimu wa sekondari. Nimeajiriwa mwaka huu wilayani TARIME. Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili nihamie wilayani BUNDA. Naombeni msaada jamani...!
Matokeo ya wanafunzi waliofanya mitihani ya bodi ya ugavi stage iv (PSPTB) mwaka jana mwezi wa 11 yapo mtandaoni! Cha kushangaza ni kwamba kwa mara nyingine wanafunzi waliohitimu kutoka chuo kikuu...
Wanajamii forum naomba msaada. me nimemaliza kidato cha mwaka jana na nipata division three ya point 25 je naweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tana?
Madaraja niliyo yapata ni kama ifuatavyo...
wakuu naomba mnijuze eti vyuo binafsi vya afya nako kuna ushindani wa kupata nafasi maana kuna mtu ana bios c chem c na phy d math f english d masomo mengine yote d anataka asome diploma ya...
Wapendwa katika tangazo lao wamesema waweza apply on line pia na wakasema form ziko katka website za wizara na nacte bt nimejarb kuangalia czion ni mimi tu au wote?