Helow wana'JF...nilikua naomba mawazo yenu juu ya kuendelea na kozi ya Clinical Officer,kwan sasa n nwanafunz kwa ngaz ya cheti( Clinical Assistant), je kuna chuo kinacho pokea ili ni'upgrade!?
Na...
Mm n mwanafnz wa advance form five
Nahitaj kufaham kwamba napenda kusoma kombi ya EGM lakin swal langu n kwamba naweza kusoma kombi ioo na badae nikawa RUBAN
naomben msaada wenu tafadhal
polen na majukumu wakuu..Kwa anaye fahamu tafadhali naomba anifahamishe kuhusu chuo cha lugalo cha afya dar ni private au serikali?application form lini znatoka ada na vigezo.vya kujiunga na...
Mimi mwalimu wa shule ya msingi manispaa ya songea natafuta mwalimu wa kukubadilishana nae kuja songea-ruvuma yeye awe anatokea mkoa wa shinyanga wilaya yeyote ile kwa mawasilano zaidi tuwasiliane...
Natumai ni wazma wa afya ndugu zang, wakuu nilikua naomba msaada wenu wa kimawazo nina mdogo wang amemaliza form four mwaka jana na matokeo yao haya yaliotoka mwaka huu, sasa yeye amepata iv ya...
Wapo baadhi ya maofisa halmashauri mbalimbali hapa nchini ambao huendekeza rushwa za ngono katika kutoa huduma kwa walimu na watumishi wengine wa kike wanoanza kazi kwa mara ya kwanza au kwa...
waalimu wa moshi vijijini wanaomba kuiuliza serikali kuwa wao ni tofauti na waalimu wengine Tanzania? mbona wanafanyiwa hivi? wananyanyasika sana kutoka kwenye idara zao za elimu, tsd, na...
Jambo hili kiukweli linawakatisha tamaa sana waalimu hawa waliosahaulika toka nchi hii imepata uhuru.
Awali ilitangazwa kwamba tayari zimeshafika pesa zote za kujikimu za waalimu katika...
Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa...
Kiujumla katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera waliimu wapya wengi wameripoti.Zoezi la kujaza fomu limefanyika bila matatizo ila DOLA YA KIMAREKANI eti hadi kesho tena kwa kuiandikia barua...
Habari zenu Jf members,
Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy.
Kinachonishangaza ni kwamba...