Wakuu nimefka kwenye halmashauri niliyopangiwa kwa ajili ya kuanza kazi(njombe),lakini pesa ya kujikimu imetolewa nusu. KWA SHAHADA TSH-45000@siku, HALMASHAURI imetoa pesa ya siku 3 badala ya...
Kila mwaka kumekuwa na skendo nyingi juu ya kuombwa au kuandaliwa mazingira ya kutoa rushwa. Katika maeneo mengi wasichana (wanawake) wamekuwa wakiwekewa mazingira ya rushwa ya ngono, kwa waanaume...
Ndugu zangu wana jf hasa walioko sekta ya Elimu ninakumbuka kuna wanaharakati walitaka kuanzisha chama cha walimu kitakacho simamia maslahi ya walimu sawa na ilivyo kuwa CWT ya mwanzo kwani sasa...
Habari wana-education kuna kijana ameniomba nimpe msaada wa kumwezesha kurudia mtihani wake wa o level baada ya kupata matokeo yasiyomridhisha, hivyo nauliza kama mpaka sasa utaratibu wa kujiunga...
tayar nimeshafika hapa katika ofisi za halmashaur.nipo karibu kabisa na ofisi za idara ya ELimu.mimi si mwalimu mpya laa hasha mimi huu ni mwaka wangu wa tatu kazini.lengo la kuja hapa ni kupokea...
Kwanza hongereni kwa kupata ajira najua ni mwanzo mpya wenye baraka na utajiri mliokusudiwa na Mungu nyinyi ni viungo tegemezi kwa kila aliyefanikiwa na pasipo mwalimu hakuna aliyeweza kuitwa...
Wakuu ninatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu na ninapendelea kusoma katika chuo hiki kampasi ya mwanza kwa koz ya BBA lakin nilikuwa nataka nijie kuhusiana na ubora wa elimu inayotolewa...
mimi nina mtoto wa mjomba wangu ambae yupo kidato cha pili,alikuwa anaishi na mama mkubwa baada ya wazazi wote kufariki,sasa mama mkubwa mwezi wa pili alienda shuleni kwao na kuwaambia mtoto ni...
NVITATION FOR SPONSORSHIP TO TRAIN PILOTS. The Tanzania Civil Aviation Authority (the Authority) was established on 1 November 2003 as a corporate body, pursuant to the Civil Aviation Act, Cap...
People will you please help me in sharing your experiences on the private universities for arts Degree courses.
I want to enroll my niece on one of them for the next academic year.
mi ni kijana wa kidato cha 6, nmekuwa na hamu sana ya kujiunga na chuo kikuu cha dodoma, lakini kila nnaemwambia hilo hunibeza na kusema eti udom si chuo cha kwenda.
Ninachotaka kufahamu ni...