Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman naombeni mnijuze muda wa kuapply vyuo vikuu 2014 ni lin wana anza?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je wewe ni mwanafunzi wa level yoyote (Sekondari, Chuo n.k) na unahitaji ushauri kuhusu Combination/course gani ya kuchukua/kusomea/ chuo gani cha kusoma ndani na nje ya nchi? usisite wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
HABARI WANAJAMVI wakati nikipitiapitia sera ya taifa upande wa elimu nikaingia hadi kwenye mitaala ili kuandaa ujuzi wa mambo tofauti kwa ajili ya kuja andika makala baadae.sa cha kushangaza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa anafaham chuo kinachofundisha evening course kwa bachelor degree kwa miaka mitatu mkoani arusha anifahamishe tafadhali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi muda wa kutuma maombi vyuo vya kilimo umefika? jamani msaada wenu jamani
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani kuna mdogo wangu kasoma chuo cha ualimu private amemaliza 2011..daraja la tatu mwenye kuweza kunisaidia ili aweze kuingia serikalin
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Habari zilizotufikia toka IFM- Dar es salaam ni kwamba mwanafunzi mmoja ambaye bado hatujafanikiwa kulipata jina lake amefariki dunia kwa kulishwa sumu katika chakula...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa shule wa shule ya sekondari Dunda iliyopo mjini Bagamoyo.Ila changamoto kubwa uliyonayo mbeleni katika uongozi wa shule ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi nimatumaini yangu kuwa ni wazima,Naomba kujuzwa kati ya Bachelor of art in economics, Bachelor of arts in Information Technology na Bachelor of Irrigation and water resource engineering...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mdogo wangu kamaliza form four na kapata ziro kipindi chote nilichokaa nae nimejaribu kumchunguza hana kitu kabisa kichwani hadi nimekubali kuwa ziro aliyopata inamstahili kabisa sasa kituko...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Imezoeleka kuwa waalimu wa kiume ndiyo huwapachika wanafunzi wa kike mimba,lakini hali imekuwa tofauti kwa mwalimu huyu (jina limehifadhiwa)wa shule ya secondary Mwakibete hapa jijini Mbeya.huyu...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Ningependa kupata ushauri kwa wenye watoto kwenye shule hizi.Kiafya,kisaikolojia na kiakili Nitaongelea kuhusu a)Muda wa shule (b)Muda wa kupumzika(c)Home works (d)Weekend works(Holiday...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
wanajamvi naombeni msaada wenu jinsi ya ku apply chuo kikuu kupitia NACTE. nasikia kuna kulipia unajaza fomu then izo fomu unapeleka wapi, msaada
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nasoma mechanical engineering natafuta sehemu ya kufanyia field ambapo wanalipa posho nzuri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarina za asubuhi ningependa kufahamishwa jini ya kujiunga na vyuo vikuu kupitia tcu wanaangalia vigezo gani na nafsi wanatoa lini msaada pls
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepewa swali binafsi hapa chuoni linlotaka niandike insha isiyopungua kurasa mbili kuhusu ushairi wa kiswahili,tafadhari naomba ushirikiano na email yangu ni ntakilowakumulaga@gmail.com
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kuhusu ufaulu unaohitajika ualimu ngaz ya chet
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nauliza ivi, kna walimu wapya wa shahada amepangw vituo vya kaz na wanasap kwenye masomo yao vip inakuaje wakati wanaripoti? Naomba kujua kwa mwenye ufahamu wa hili.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nilifanya maombi ya scholarship nchini japan npo katika hatua nzuri ya kuweza kupata sasa kama kuna mtu amewahi kupata hzi scholarship anipe ABC ZA maisha nchini japan.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
taarifa niliyonayo ni kwamba chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani kolowa(sekomu), wamepandisha pesa ya usajili wa course ili kusajiliwa kwa ajili ya kuanza muhula, yaani semester kutoka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…