Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Inaelekea wiki ya 3 sasa tangu ajira zitolewe na sisi wengine kukosa,na mkadai kwamba suala letu mnalifanyia kazi.Iweje mnakaa kimya?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenyu bhanaa!nna div.3 ya 22,credits 6,phy-C;Math-D;Chem-C. cna F,naweza nkaapply college hapo juu!?msaada wenu wadau.(hz n reslts z o'level)
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu ati nimeskia saiv mtu akimaliza a level Uganda akirud bongo haruhusiw kujiunga bachelor moja kwa moja hadi afanye diploma.,,is it true?
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Wakuu nina mdogo wangu. Naamini na nyie mna wadogo au ndugu zenu. Amemaliza form four mwaka jana.. Amepata div III point 28 alisoma arts. Naulizia vyuo na kozi nzuri anayoweza kusoma koz kwenda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tare he 11. 02. 2014 usaili ulifanyika kwa walioomba scholarship za tgcl. Chakushangaza ni mda mchache uliotumika kwa Kila mtu kuhojiwa, yani dk5 tu. Maswali ya kujiuliza ni: je huu usaili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATI YA EDUCATION NA ENGINEERING NI IPI lNALIPA KATIKA UPATIKANAJI WA MKOPO NA AJIRA BAADA YA KUHITIMU..............!!!!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mapindi leo yamebebana afu ni final draft,tuna CL 2-3,EC 126 saa 3-4 then at the same time ST 112 2-4,inakuwaje wadau?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu napenda kufahamisha tcu huwa wanaanza kupokea maombi ya application kwa ajili ya kujiunga na vyuo kuanzia mwezi gani? Pia utaratibu wa kutuma unakuwaje kati ua chuo ulichoomba, tcu na bodi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kada wa ccm;a.k.a mkuu wa wilaya ya mkuranga ndugu mess tarehe 12,3,2014 aliwaita walimu wa sekondari pamoja na shule za msingi ili kujadili kero zao na kutatua kero hizo,moja ya kero za walimu wa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hayawi hayawi jana jioni mgodi ulicheua na wengine waliokota dhahabu na wengine mawe ya kujengea,wengine walijeruhiwa na mlipuko,ndio maisha ya kusoma.Sap ni siri ya mtu ila kwa ujumla mambo ndo hayo.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
wadau naombeni mniorodhoshe topics za pure maths
0 Reactions
11 Replies
18K Views
JF member area for rent suitable for school , primary or secondary school any body interested 0715291770
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Habari members wote kuna tangazo huwa linatangaza kuhusu chuo cha kilimo na mifugo kilichopo bagamoyo kuwa kinatoa mafunzo hay je diploma wanatoa na ada ni kiasi gani? Naombeni mnijuze
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Ungependa kufanya kazi na watu wa mataifa gani kati ya mataifa yafuatayo 1: Burundi 2:drc congo 3:kenya 4:rwanda 5:s.sudan 6:uganda
0 Reactions
18 Replies
2K Views
napenda kutumia fursa hii kuwapa pole na mtapata ajira soon.
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Katika hali ya kushangaza Afisaelimu ya Sekondari wa wilaya ya Itilima mkoani Simiyu amewaambia Wakuu wa Shule wapatao kumi waliohamishwa kutoka shule moja kwenda shule nyingine kuwa hawatalipwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Trace the origin and development of universities in Tanzania since independence
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Report from Georgetown centre on education and the workforce examined salary and unemployment data relating to experienced college graduate degree holders. The following are the 10 useless...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Jamani wana Jf kuna hatua gani za kufanya ili kupata scholarship,na je ni vigezo gani vinavyozingatiwa haswa.Na mwisho ni chi gani nzuri zaidi kitaaluma kwa upande wa universities ktk Afrika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wana jf,hivi DIT wameshaanza kutoa application form kwa ordinary diploma 2014/2015,au bado!!?msaada wadau!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom