Habarini wote, Nilianza kazi 2008 katika sekondari wilaya ya BAGAMOYO huko PWANI, na nikafanya kazi miaka4. Mwaka 2011May, nikaomba chuo kikuu na mwezi wa7 nikapata barua ya kuhama ndani ya...
Uzalendo huwa hauzuki from nowhere. Uzalendo hutengenezwa. Ona Hii sasa!
It could well be an Onion story. According to various media reports, all university men in North Korea will now have to...
Jamani eti ni kweli na wale non graduants wenye mataizo ya carry au supplementary nao huwa wamo katika ajira za serikali?
Please share your experience.
Maelfu ya watoto nchini Uingereza na Wales,
wanakabiliwa na tisho la kukosa elimu huku
walimu wao wakigoma.
Walimu hao wanagoma wakitaka nyongeza ya
mishahara, malipo mazuri ya uzeeni na...
Wadau naomba mwenye uelewa wa sifa za watakaojiunga na kidato cha tano kwa matokeo yaliyotoka. Mfano mtu ana division IV lakini kwenye combination ana BCC anaweza kuchaguliwa?
TRAINING!! TRAINING!! TRAINING!!
NEW LEMIS COMPLIANCE LIMITED
HIGH QUALITY SERVICE TO MEET AND/OR EXCEED CUSTOMER EXPECTATION
The New Lemis Compliance Ltd deals with Consultancy service and...
si kila aliyesoma ualimu na kuhitimu toka chuo chochote iwe cha serikali ama private ana uwezo wa kufundisha akaeleweka, sasa hapa wote waliofauru wameajiliwa bila mchujo wakupata wanaoeleweka...
TAARIFA KWA WALIMU WAPYA KABLA YA KURIPOTI KWENYE VITUO VYAO VIPYA VYA KAZI.
Ndugu wadau wa taaluma hii ya ualimu kwanza nipende kutoa pongezi kwa wale wote ambao wameweza kupangiwa vituo vyao...
habar wapendwa, mmi nina dploma ya journalism nataka kubadil koz hii ni koz gan ambazo naweza chua kutokana na fani yang? Naombe msaada wa hlo na jins ya kuapplay
habari za usiku walimu wenzangu,kwanza kabla ya yote napenda kumshuru mungu na serikali kwa ujumla kwa kufanikisha swala la ajira 2014,kinachoniumiza kichwa nimepangwa sehemu ambayo sijawahi hata...
habari zenu wapendwa naomba msaada wa kunitumia vitabu / topic za advance form five kwa combination ya, hkl . email yangu ni . nguvumalimedson@gmail.com
natanguliza shukran ... nikitumain kupata...
habari zenu jamani.tafadhari kwa wale walimu wazoefu kazini.naomba mnijuze kama ni lazima kufungua bank account tawi la nmb na vipi ukifungua tawi lingine tofauti na Nmb huwa hawakubali kwa sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.