Hongera zimwendee Baraka Minja ambaye katika mitihani ya IGCSE mwaka 2012/13 alikuwa wa kwanza duniani katika somo la Fizikia (Physics). Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa kiakili kwani katika...
Samahanini!!! Nina dada yangu ana D ya kiswahili D ya Geography na B ya English. Anahitaji chuo kinachohitaji pass 3 na kitoacho course za human resources au procurement n supply
Habari zenu,.naomba mnisaidie kuhusu hichi chuo cha mzumbe... kwa anaetaka kuanza certificate na katokea form four wanachukua vipi?!,mfano TIA wenyewe ukiwa na D 4 unasoma. hapo vipi,?msaada tafadhali
Wakuu napenda kuelekezwa ni namna gani ya kutuma maombi tcu ili kuweza pata chuo pamoja na mkopo. nina diploma ya mechanical engineering na napenda kuwa mwl. ktk masomo ya science coz nina gpa ya...
Habar zenu wanajamii forum? nahtaji msaada kwa anayekifahamu hiko chuo cha ardhi cha private nahtaji kujiunga kwa ngaz ya chet mwaka huu anipe angalau hata detailz zake kuhusu ada, mazngira na...
Hello Friends,
I hope that y'all fine, and are all going very well. I thought it a good idea to share this with you as I believe some of you with required qualification, or your friends with...
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza Mzumbe, kama mjuavyo chuoni kuna presentation za hapa na pale. Tatizo linalonikabili ni kushindwa kabisa kuongea ninapofika pale mbele ya darasa, nasika...
Wana jamvi napenda kujua ni shule gani ambayo imetoa wasomi weng sana kuliko shule nyingne, kuna tetesi kuwa eti ni mzumbe na tabora boys je kweli'? Naomba msaada wadau
Naomba msaada kwa anayefahamu anaisaidie nipate nafasi chuo cha afya cha serikali, maana nimeomba mpka nimechoka wizara ya afya lakini cpati nafasi na nina Credit 4 na pass 5 Sina F hata moja na...
Wakuu msaada tafadhal, nataka kujua kama hii kozi ya laboratory assistant kama inalipa au la, upatkanaj wa kaz na vp kuhusu mishahara yao kwa mtu mwenye diploma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.