Hi wadau,
Natamani kujiunga na special course ya ualimu wa disabled people ambayo ni special needs.Sasa Vipi kuhusu vigezo kwa wale walimu wazoefu na ajira zake Vipi pia,
Tubonge live
Mada yajieleza.Naomba kufahamu kati ya kozi hizo:accountancy na procurement yenye kulipa zaidi kwa misingi ya mazingira kazi yenye kutoa mwanya wa kutengeneza pesa zaidi ya nyingine.Kalibuni.
Salaam Wana jukwaa,
Mie Mwl.John Power nimepangwa shule moja ya sekondari mkoani dodoma sehemu inaitwa MVUMI..kama una info zozote kuhusu mazingira,watu,biashara,maji,umeme n.k naomba ufunguke...
Habari za leo wana jukwaa, nahitaji kufahamu chuo kilichopo mjini arusha kinachofindisha kozi za jioni baada ya kazi Kwan bachelor degree ya economics, kuhusu matokeo ya kidato cha Sita hakuna shaka
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza bwana bregrey j. nyakyuma hana sifa za kuongoza shule. hii imethibitika wazi kutoka kwa watu wake anaowaongoja. imesemekana kuwa mkuu huyu...
samahani naomba mnisaidie kunijibu swali langu.ivi kupata kaz pccb unatakiwa uwe umesoma corse gani chuo na ni masomo gani ya elimu ya A-leval uwe umesoma na mshahara wao ni kiasi gani na kama...
Mi nimehitim chuo miaka miwili iliyopita nikiwa na degree moja katika social science. Baada ya kutafta ajira mda mref bila mafanikio nimepata wazo la kusoma masters.
Lengo langu ni kubadilisha...
Period of general economic decline defined as a contraction in GDP for over six months characterized by;
High unemployment
Stagnant wages
Fall in retail prices
NB: Recession does not...
Wakuu natumai mko good!
Wakuu hiki chuo cha Afya sikielewi kuhusiana na vigezo vya kujiunga na Diploma kwa passmark za O-level .
Wengi tunajua kuwa 0- level kujiunga...
Nikiwa miongoni mwa walimu wapya katka safari za kwenda kuripoti kwa wakurugenzi,nimekumbana na kikwazo cha usafiri. Basi la OSAKA kutoka DAR-BUKOBA ni majanga kwani wanapima hadi majaketi abiria...
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza anaejulikana kwa jina la BREGREY J. NYAKYUMA amechukua jukumu la kwenda kumshitaki mwalimu kwa mwajiri na hatimaye mwalimu huyo kukatiwa...
An eight-year-old child has been pulled out ofa Christian school after being told she is too much like a boy and needs to understand that. 'God made her female'.
The child was taken out of...