Februari mwaka huu, Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013.
Katika matokeo hayo, wanafunzi 151,187 walipata daraja sifuri, sawa na...
Mim n mwalimu wa grade A ngazi ya chet halafu sina credit tatu.Hivyo nkitaka kujua njia bora ya kujiendelaza kielimu kutafuta credit kwanza? Au kuna njia bora tofauti na hyo naomben msaada wenu...
Habarini wana jf, naomba mawazo yenu ya khari na mali kuhusu changamoto hii ya ombi la pasipoti, kwani dhumuni langu la kuomba pasipoti ni kujisajiri katika international english language testing...
habali wandugu,
niwapi?, naweza kupata huduma ya kufundishiliwa mwanangu masomo ya ziada
hasa kipindi hiki cha sikukuu ya pasaka ambapo amekuja kwa mapumuziko
na iwe ni mazingira mwanza mjini at...
Wana JF naomba munisaidie , nina mdogo wangu anataka kusoma mambo ya FINANCE sasa anajaribu kudodosa ni chuo kip kizuri yaan baab kubwa kwa cozi za FINANCE ? me nmemwambia ajarib IFM
Mafahali wawili wakigombana..............
takribani wiki moja imeshapita tokea ajira za walimu zitangazwe,na kilichotokea ni kutokupangiwa vituo vya kazi kwa wahitimu wa St john-Dodoma...
Hapa ndipo mishahara hewa inapoanzia. Nchi yetu bado sana hii.
jamaa ana shahada ya ualimu, baada ya ajira kutoka imeonekana kuwa jina lake lipo zaid ya mara moja
ikiwa...
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini Serikali inalazimisha Wanafunzi wavae Sare za Shule ambazo zinauzwa na huku ikijua wazi kwamba Wananchi wake wengi hawana hata pesa ya kununua Chakula, sembuse ya...
Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata...
Kuna tabia ya baadhi ya hwa mascholar wa universities kudharau vyuo vingne na kusifu wanavyosoma kuwa ndo bora hii tabia inakera sana.kma na wewe mwana jf unakereka hebu wape neno la kuwarekebisha...
Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto zaidi katika soko la ajira la sasa na hata kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma Masters in Busness Administration na kutaka kufanya option kati...
hiv kulingana na grade za matokeo ya mwaka huu,je nisifa gan wanazohitaji au mwisho div4 ya ngap kujiunga na na hvyo vyuo vya ualim wa primary either govt or private
Thank God nimebahatika ajira mpya simanjiro mkoa wa manyara level ya shahada jee nastahili kupata kiasi gani subsistance allowance na lini zitapatikana? Na pls mwenye kujua nauli kutoka arusha...
Chuo cha taifa cha usafirishaji, ni moja kati ya vyuo vikongwe hapa TANZANIA ambavyo serikali ‘imeamua' kukipiga chini katika uboreshwaji wake!
Ndugu wadau, chuo cha taifa cha...
Hv nivigezo gani wanavyo 2mia kutoa pesa ya likizo kila baada ya miaka miwili? na wana2mia vigezo vp ili kujua ww unatokea mahali fulani? Vp pia kuhusiana na swala la nauli? plz msaada wenu wadau
Mimi ni mwajiriwa mpya wa ajira za ualimu (Idara ya Sekondari). Hapa tayari nimepata mtu wa kubadilishana nae halmashauri za kufanyia kazi.
Naombeni ushauri wadau, tunapaswa kufanya nini sasa...