Jamani wanajamvi wenzangu hivi kwanini hizi ajira mpya za walimu hazitoki?kila mtu anasema lake analojua,mara kesho,mara wiki ijayo....na hizo siku zinafika hakuna jipya.JAMANI KAMA KUNA MTU...
KWA TAARIFA ZILIZO JIKONI KUTOKA MoEVT ZINASEMA MWISHONI MWA MWEZI HUU WA 2 WATATOA AJIRA KWA WALIMU WAPYA KWA MASHARTI YAFUATAYO:
1.KURIPOTI KITUONI KWA WAKATI ULIOPANGWA NA KINYIME CHAKE...
NIKO NJIA NAELEKEA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI(MOEVT) OFISI #52 inayohusiana na maswala ya elimu' lengo ni kutaka kujua ni lini hasa ajira hizi pendwa zitatangazwa, majibu nitakayopewa...
Ilipoti kuhusu ubora vya vyuo vikuu afrika, inaonyesha bado UDSM inaongoza njia Tanzania na huku SUA akipitwa na MUHAS.
UDSM ya 36 africa, 1593 dunian. MUHAS 42 Africa, 1761, SUA ya 45 africa...
Kilichomwondoa unaibu Waziri Elimu mhe. Hamim Agustino Philipo Mulugo nini...? Kuna wengi tulimpima na kumwona ni mchapakazi mzuri ukilinganisha na Waziri wake Dr. Shukuru Kawambwa. Hata hivyo...
Mimi nilipata div 4 point 26 o-level masomo ya sayansi nilipata hivi
Phy-d
Chem-c
Bios-c
Nikaambiwa kwa matokeo yako hayo unaweza soma diploma ya co.
Je, nauliza hivi nikifaulu vizuri hiyo...
kwanza niwape hongera sana waboyzia wote mliopo pande zote za TZ tuikumbuke shule yetu imetutoa mbali sana kama ww ni mboyzia tupia comment hapa kwa neno lolote lile
jaman mi nauliza Loyola n ya day or boarding na ka ni ya boarding ada yake sh ngap cz hii shule nmeiona ni nzuri yan kujiunga 4m 5 so naomba mniambie coz naisikia 2
Jaman Kuwen Na Aman Wanafunz Wenzang, Haya Matokeo Ni Kitu Cha Kawaida Ucwe Na Hofu Wala Waswas Yeyote Ile. Nawasihi Kuweni Wavumilivu Yatatoka Tu. Mtu Unapopanda Cku Zote Unategemea Kuvuna, Kwa...
Mkoa wa Kilimanjaro umekuwa kinara wa kuboresha elimu ya msingi kwa kupata wastani wa asilimia 82 sawa na daraja A wakati mikoa ya singida na kigoma wakifanya vibaya.Kilim kwa kufelisha zaidi ya...
Watanzaniua wenzangu changamkieni Scholarship hii paale Edinburgh University, chuo hiki kimetupa heshima kubwa Watanzania kutokana na mchango wa Mwl. Nyerere Africa na dunia nzima fuata link hii...
Sina shaka mko salama wanajamii. Tafadhali naomba kufahamishwa ada za kozi za muda mrefu VETA kwa mwenye uelewa, najaribu kupitia tovuti yao sipati taarifa za kutosha.
Natanguliza shukrani zangu.
naulizia ni shule zipi bora kwa kufaulisha kidato cha sita mkoani arusha na kilimanjaro mbali na ilboru na kisimiri,ziwe ni za serikali na ziwe na michepuo ya sayansi.naomba msaada wadau kwa...
Nina shida ya 2,000,000 naomba mtu anikopeshe sina collateral zaidi ya vyeti vyangu vya shule.
Nitailipa hyo hela pamoja na riba ya 300,000 ikifika May
Naombeni mnisaidie.