najiuliza, ina maana hakuna mtu mtu anayeweza kumkumbusha raisi kuhusu hotuba yake aliyotoa dec 2013 kuhusu ajira za walimu? hakuna mtu anayeweza kumuuliza mh. majaliwa kuhusu ile mapema januari...
Wakuu naomba mnifahamishe hili, Mtu ambaye amesoma Degree ya BAED yaani Bachelor of Arts with Education, anaruhusiwa kufundisha kwenye vyuo vya ualimu? maana niliwahi kusikia kuwa hawaruhusiwi...
Inafikia muda unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna...
Za mchana wakuu.
Nilipigiwa simu na ndugu yangu alioko mbali na ninapoishi. Akaniambia kuwa anahitaji nimsaidie ada ya mtihani wa form four,nikamuliza ni shilingi ngapi? akaniambia Tshs 50,000/=...
Chanzo cha habari kutoka wizara kimedai kuwa si rahisi kwa serikali kutompatia ajira mwanafunzi aliyesomeshwa kwa pesa nyingi,ila yule aliyekuwa na %chache itakuwa ngumu kwa yeye kuajiriwa...
Mimi ninadogolangu (form four leaver 2012) anapoints 29 namtafutia chuo chochote lakini kiwe nicha serikali kwa mwaka wa masomo 2014/2015 wadau nisaidie ninashida ya huyu dogo.Ahsanteni no 0765469266.
Ripoti ya shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu sayansi na Utamaduni (Unesco) inasema watu wasiojua kusoma Tanzania hadi kufikia mwaka 2002 ilikuwa idadi ya watu wasiojua kusoma na...
Amazing Mathematics
If:
A B C D E F G H I J K LM N O P Q R S T U V W X Y Z
is equal to:
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26
Then,
H+A+R+D+W+O+R+K ...
Naomba kuuliza hivi serikali inampango gani na kuwapandisha madaraja walimu kwani ni miaka sasa inakata bado madaraja yame-stagnate palepel....Mfano mwalimu aliepandishwa daraja akaingia D1 miaka...
IMPORTANT:
1. Attention
is called to Notice to
Candidates overleaf.
2. Where contradictions
arise; the day, time and
duration shown on the question paper should
be adhered to.
3...
kama kawaida wadau tunaomba dua zenu kipindi hiki tunapoanza mitihani yetu ya kumaliza semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014,UDSM(Main Campus,DUCE & MUCE),tunaanza tarehe 3 mpaka 14...
wadau heshima yenu! Kama kuna mdau yeyote anayeweza nipa information za kutosha kuhusiana na hii kozi inayotolewa pale chuo cha tra mwenge naomba anipe tuu sababu naona page yao haifunguki...
Wakuu naomba kuuliza,kama inawezekana kufanya mitihani ya Procurement kwa mtu ambaye ana degree ya Economics?,na kama inaruhusiwa mhusika ataanzia stage gani?,na je baada ya kufanya mitihani hiyo...