Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Dar es Salaam. Serikali imeanzisha mfumo mpya wa udahili kwa wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza, kwa kuwalipia ada watakaojiunga na shule binafsi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna jamaa niliongea naye kwenye simu akaniambia tukutane mtaa wa samora na mkwepu ila naona kama memo kichwan zimekata naombeni mnisaidie plz..,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Samahani lakini,kipindi cha mitihani kimefika naomba kusaidiwa nitajuaje kama camera imewashwa wakati nafanya pepa?chuoni kwangu kuna camera madarasani,nauliza nijue ili nitumie sapoting...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mapinduzi ya mwanzo Africa -congo kinshasa 15 sept 1960 Siku 13 tangu nchi ipate uhuru kutoka kwa waberigiji . Patrice lumumba (waziri mkuu) alipinduliwa na hasimu yake Rais joseph kasavubu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kutokana na upungufu mkubwa wa walimu nchini serikali na taasisi za binafisi wamefanya na wanafanya juhudi kubwa kutatua tatizo la walimu,tayari kwa kiasi kikubwa tatizo la walimu wa arts ni kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayezifahamu naomba uzi-list zote
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Naomba mnitumie matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005, naombeni msaada wenu
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Wanajamvi ningependa kujua ni njia ipi sahihi zaid kat ya kusoma advanc au kusoma diploma ikiwa una malengo ya kuwa engineer?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo ktk pitapita zangu nimekutana na Tangazo hili idara ya kazi Singida. Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa anawatangazia walimu wote wa shule za msingi na sekondari ndani ya manispaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau,Heri ya mwaka mpya! Katika harakati za kujaribu kurudi shule (moja ya malengo yangu ya mwaka huu), ninahaha kutafuta shule ya post-graduate yenye walau moja ya sifa zifuatazo kwa mpangilio...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Hivi kusoma masters UDSM unatakiwa uwe na GPA gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BY KAMAU MBOTE, 3 FEBRUARY 2014 CIO East Africa (Nairobi) Tanzania's university of Dar es |Salaam is the top ranked East African University at position 12 in the continent according to the 2014...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman niulize vp walio appeal mikopo majina yanatoka lini?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
kumekuwa na utoaji holela wa elimu ya sekondari usiozingatia ubora na tija kwa taifa. Mbali na serekali yetu kuwa na mipango mikakati mizuri ya kuboresha elimu kwa ujumla bado wapo watu wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
what are the elements involved in the production and study of literature.
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Wadau pitieni hii kama upo interested au una mtoto,ndugu,rafiki,jamaa ambao unafikiri wanaweza kunufaika kupitia hii youth camp tupigie au tutumie email kupitia namba zilizotajwa hapo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Wakuu naomba msimamo wenu kwa wale mnaomfahamu juu ya huyu mama "Ester Abraham-Hicks", Hivi anaamini katika MUNGU wetu MUUMBA wa vyote au mungu yupi? nisaidieni jamani. Unaweza check...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii, Jamani mimi nimesomea Bachelor of Arts in History na nimemaliza mwaka 2013 .kutokana na nature ya hii kozi ambayo nimesoma ajira zinasumbua.ninaomba kama unaweza ukanichangia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Helo,natumaini wote wazima na buheri wa afya. Naombeni msaada kama kuna mtu yoyote ana links za scholarship za china mwaka huu kama zimetoka. Nawatakia kazi njema na mafanikio mema.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nimegraduate mwaka jana. Nikiwa mwaka wa kwanza mkopo ulisumbua kidogo, maana ulikua located chuo kingine nilikochaguliwa. Ila baadae ukaja chuoni kwangu. Bodi walikua waanilipia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…