Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wapendwa poleni na majukumu ya kilasiku. Mwenzenu ninapenda kujua katika swala hili . kwanini watahiniwa wengi wa kujitegemea hawafanyi vizuri katika mitihani yao? Pili kuna tofauti zozote za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wanaoifahamu hii shule nasikia iko Mafinga. Ningependa kupata maelezo yake kuhusu ubora wa taaluma, mahali/sehemu ilipo kwa huko Mafinga na kama ni mchanganyiko na mengine mengi...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Wengi kati yetu wamejaribu kwenda kwa waganga kutafuta chanzo na pengine huko waliambiwa kuwa wanarogwa, wakagangwa kwa zindiko, lakini hali yao haijabadilika! Sasa kwa sababu saikolojia ni zaidi...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
ukiwa na atec 2 ya nbaa unaweza ukajiunga na chuo kikuu na vipi unaapply?
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Ndugu, Polen kwa mliokosa mkopo,leo tulikuwa bodi ya mkopo na kuna mfanyakazi wa bodi alikuwa anatoa maelezo kwa waliokosa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa hali hii lazima tusimame kidete,Siku ya leo ni mekutana na mwanafunzi jina nahifadhi kwa usalama wake,Mwanafunzi huyuo x,kanifuata akiniomba msaada wa kumchangia Malipo ya shule,Kaka shikamo...
5 Reactions
46 Replies
9K Views
Salaam wakuu, Kama wewe ulipitia shule ya bweni basi utakua unafahamu, ama umewahi kusikia, ama wewe mwenyewe unaweza ukawa pilot mstaaf. kwa kifupi ninaongelea swala la kuruka ukuta usiku...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hbari wana JF. Nilifanya Advance Diploma in Taxation IFM, Post Graduate Diploma in Accountancy IFM sasa nataka kusoma Masters ya Accounting and Finance UDSM lakini nimesikia unatakiwa kuwa na...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari wakuu! ithink we are alotof ambao hatukwenda katika konzi yeyote mwaka 2013,sasa hebu tupeane mawazo huu mwaka 2014 kipi ni chuo na nafuu kwa elimu ya tanzania kwa konzi kadhaa either in...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
BEST WISHES TO ALL YOU IN YOUR UE EXAMS:dance:
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nimekuwa nikifuatilia mada mbalimbali hapa jukwaani kuhusu elimu ya mtu na chuo alichosoma.kuna wadau wanadai eti kama ukisoma Havard au UDSM au Oxford basi wewe una weledi sana wa masomo kuliko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina wazo "jipya" kidogo, tulijadili... Ingawa nimetumia neno madawati katika title, hapa namaanisha kuwa maendeleo kwa ujumla, (lakini ya manunuz tu, sio vikao), kama vile vitabu, vifaa vya...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwani humu ndani hakuna m2 mwenye uhakika kuhusu lini ajira mpya za walimu zitatoka, kwani ishafikia hatua watu wanalidanganyia gazeti fulan kwamba ndio chanzo kilicholipoti ukiangalia gazeti...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Habari zenu wana jukwaa.! natumaini kila mmoja kwa sasa anashauku ya kwenda chuo na kuripoti na kuanza masomo kwa kutumia fursa hii ningependa tuyajadili matatizo mbalimbali yanayowakumba...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tele. poleni kwa mlio na walakini kwa namna yoyote ile. ama baada ya salamu, nina hoja ambayo ningependa tuizungumzie kwa pamoja kama...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ST JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA (Plot No. 113, Kibamba, Mbezi Luguruni, P.O.Box. 11007, Dar es Salaam) NOTICE REOPENING OF THE CAMPUS COLLEGES AT SONGEA ST JOSEPH COLLEGE OF INFORMATION...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu? Hebu nisaidie, ada kwa mwaka kwa mtoto ambaye anasoma shule ya msingi ni bei gani siku hizi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wataalamu wa sheria...nikiwa mtumishi wa taasisi ya umma na nimeomba kazi tume ya utumishi wa ajira kwa post ya juu kuliko niliyopo na nikafanikiwa kupata, nimemfuata mwajiri wangu wa...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Anatafuta kazi ya kufundisha,ana digrii na amesomea masomo ya lugha ya kiingereza Anapatikana kwa namba yake 0753252677 na yuko in need kwelikweli.
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…