Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

MAZINGIRA: CHANGAMOTO KWA VYUO VIKUU KUTOA KIPAUMBELE MAFUNZO YA MAZINGIRA, KUTUMIA MTAALA ENDELEVU "Asilimia 80 ya watu waishio vijijini wanategemea sana maliasili ya mazingira. Na maisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu nipo idara ya elimu msingi wilaya ya Bunda mkoa wa Mara natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka Morogoro wilaya yeyote na Pwano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni mtaalam wa lugha ya alama na mambo ya ukalimani kwa viziwi hapa Tz. Kwa yeyote anaeendesha taasisi,semina,warsha au event yeyote na anataka kuwashirikisha watu wenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau mimi nategemea kufanya mitihani hiyo mwezi may mwaka huu hivyo basi natafuta watu waku-discuss nao. Kama upo Mwanza mjini tuwasiliane kwa kupitia link hii tuone tunayaanzaje masomo mapema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili suala linakua gumu kidogo kulielewa kwasababu kuna education for liberation na education for domestication!!!wanajamvi na mchango wenu kwa mwenye uelewa na hili jambo
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Amani kwenu wana JF na wadau wote wa elimu! Binafsi nikiwa ni mdau mmojawapo wa elimu ninaiomba serikali hususa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi au TAMISEMI kuangalia kwa upeo nzuri nafasi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni wiki ya pili tangu shule za sekondari mkoa wa kigoma zifunguliwe,ukitembelea shule nyingi katika halimashauri za kigoma hazina wanafunzi wa kidato cha tatu, ukifuatilia zaidi utaambiwa...
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Ndg wanajamvi naamini humu wamo walimu - kwa taaluma. Naomba kuuliza kwanini wanafunzi wa kuanzia darasa la I hadi la V wanafundishwa kuwa namba ndogo haiwezi toa namba kubwa? Mfano; 2-6 =...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hichi chuo kilichopo Mbezi, st joseph 1)Uchaguzi wa wanafunzi kuchagua rais wao, mawakala, wenyeviti wa tume ya uchaguzi walikuwa walimu wa chuo (wahindi) na sio wanafunzi. 2) Huruhusiwi kwenda...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Kwa anaye hitaji mwalimu wa physics au mathematics for O'level or A'level tuwasiliane 0686690800
0 Reactions
1 Replies
697 Views
nilichaguliwa course ya bsc in biology, nipo mwaka wa pili lakini nimefanya maamuzi yangu nimeona bola niache chuo alafu ni apply tena course nyngne ninayoipenda for academic year 2014-2015...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Sakata la ubadhirifu Wa hela chuo cha ualimu Korogwe limeibuka upya. Hatua hiyo imekuja baada ya wazabuni kugoma kusambaza chakula cha kuwalisha wanachuo. Aidha sakata hili liliwahi kuibuliwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jf natanguliza salam. Eti wana jf je mtu anaweza anaweza kusoma MD akatokea ngazi ya diploma clinical officer kwa kutumia cheti cha form4 tu. Maana naskia huyu co mwenye cheti cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu alisoma undergraduate hapo cbe na anahitaji kujiendeleza ana vigezo ila ,hapa tz kuna chuo kimoja tu ambacho kinatoa hii course ni cbe.ila hawa wamekuwa wakila hela za watu kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nafasi za kusomea ualimu kwa mwaka 2014/2015 walimu wa sayansi tu wanahitajika TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO MAALUMU YA UALIMU TARAJALI NGAZI YA STASHAHADA - SAYANSI NA HISABATI |...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Napenda kuwakaribisha wadogo zangu wanaopenda kozi ya Udakitari(Doctor of Medicine,M.D) Kujiunga na chuo cha Kilimanjaro Christian Medical University College(KCMUCo),tawi la chuo kikuu cha...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar? Mwaka jana nilipeleka maombi TIA nilikuw nataka kusoma Account katika ngaz ya cheti ila sikufanikiwa kupata nafasi. Alafu mbaya zaidi niliapply TIA tu kwa sababu muda ulikuwa umeisha wa...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
TAALUMA YA UDOM HAINA UKOMBOZI Wadau wa JF, Napenda naomba kutoa mawazo haya wazo ingawa najua wazi kuwa yatawauma walio wengi hususani kwa wale wenye watoto katika chuo hicho au wengine...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Sekta ya elimi nchini Afrika Kusini imeanguka mno! Inaelezwa kwamba nchi hiyo ni moja ya nchi za Afrika zenye mfumo mbovu mno wa elimu hivi sasa, na kwamba watoto wanaomaliza elimu zao wanakosa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
waisilamu pelekeni watoto wenu shule wapate elimu bora, acheni kuwalalamikia ndugu zenu wakristo na kudai kuwa wanapendelewa! hamna upendeleo katika elimu jamani!!! hii ni jitihada za kuaandaa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…