Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana jf, mimi nimehitimu degree ya project planning, management & comunity development mwaka 2011 lakn mpaka leo sijafanikiwa kupata ajira ama serikalini au kwenye mashirika binafsi zaidi...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
1:What is the PHRASE AMPHIBIOUS EXISTANCE 2.How did the findings of darwin influence the classification of organism
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hali ni mbaya sana kitaa, siku zinasonga kila mtu anasema lake,tetesi zimekuwa nyingi. maisha nimeyaendesha kwa kubet(Mikeka) lakini siku za karibuni naona nyota haipo upande wangu. Mwenye...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wadau Mnaosoma sheria au mliowahi kusoma sheria nimekumbana na swali ambalo nahitaji msaada wenu "when offer is made by e-mail when is it considered to be a valid OFFER "Kwa maana nyingine ni...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Shule ya Msingi Juma kisiwani iko kijiji cha Juma, Kata ya Katunguru, Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza ilianzishwa 1974. Shule hiyo licha ya kuwa na uhaba wa walimu pia haijawahi kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda mnijuze Maana ya Silabi na Njia zinazotumika katika Uundaji wa Silabi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Masada naomba munielimishe faida anayopata mtu analiyesoma mpaka kinda to cha Sita na na kuingia Chuo Baada ya kufaulu na Faida au hasara gani atayopata mtu anayekufaulu kuingia a-level lakini...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
J.Makamba...kilimo chakula na ushirika Migiro...Afrika mashariki Sitta...ulinzi Mwakyembe...Tamisemi Filikunjombe...uchukuzi Kigoda....Fedha na uchumi Prof. Kabudi Elimu na ufundi Prof...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ATLANTA (Reuters) – A suburban Atlanta high school student has been suspended for a year for hugging a teacher, a television station reported The suspension could derail Sam McNair’s chances of...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Kwa wale ambao mna elewa nisaidieni.Nina vutiwa na ile kazi ya viwandani kama ya Alcohol &beverage production.Kwa sasa ndio malengo yangu na nina chukua michepuo ya science,nauliza hivi endapo...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Nimesikitishwa na kitendo cha shule moja ya Sekondari ya serikali,kutaka wanafunzi warejee makwao,kwa kuwa shule haina CHAKULA na Mzabuni (Supplier) anaidai shule millioni 400.Wanafunzi ndio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
unaponunua computer (laptop au desktop) ni kipi cha kuangalia? ukianzia na hd iweje, ram ukubwa gani, processor na vingine. Nijuze kama unajua.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watendaji wizara ya Elimu wanaugomvi gani na walimu/wakufunzi waliopo chini ya katibu mkuu? Mkufunzi anakaa miaka 6 hajapandishwa cheo/daraja na hapewi sababu yoyote zaidi ya kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikua stationery hapa chuo kikuu fulani,alikuja Mwl wa kike alivyokua amevaa ile suruali ya kulalia nilihisi kuuomba upofu,hivi wanafunzi watakusikiliza kweli na wafaulu,inasikitisha sana kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari ndugu, Naomba msaada kwa wale waliosoma nje ya bongo hasa kwa level ya digrii na kuendelea pia hata wale waliosomea hapa nchini. Serikali na baadhi ya organisations zimekuwa zikitoa...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Ningependa kufahamu vyuo vinavyotoa masterz kwa hapa tanzania
0 Reactions
3 Replies
2K Views
samahani wakuu mwenyekujua kinachoendelea anijuze au ndiyo Big result now ,shule ndiyo hizo zinfunguliwa matokeo ya kidato cha pili hayajatoka ,mtihani ulifanyika mwezi tisa mwaka jana ,hii ni...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
HABARI WANAJF MM NIKIJANA AMBAYE NIMEHITIMU B.A IN HISTORY UDSM MWAKA JANA .SASA NILICHELEWA KUBADILI KOZI ILI NISOMEE UALIMU.SASA NIMEPELEKA BARUA YA MAOMBI WIZARA YA ELIMU WANIPE POST MWAKA HUU...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Hakika ninayoyaeleza hapa yananitoka moyoni tena ndani ya moyo unaoumia namadudu yanayoendelea kutokea katika wizara nyet/mama ya elimu, Katika taifa lolote ambalo linahitaji maendeleo yakweli...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekuwa nikisikia katika vyombo vya habari kuwa watu wamepigwa na radi wakiwa shambani au wako baharini wakivua, sijawahi kusikia radi imepiga mjini, Kuna sababu yoyote inayofanya...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…