Habari zenu wana JF
Nina mdogo wangu amemaliza la saba mwaka jana.. Tunamshukuru Mungu amefaulu vizuri sana na amebahatika kuchaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza..
Utata unakuja baada ya...
Nataka kusoma postgraduate diploma of education ya open university je ajira zake ziko open km za degree yani moja kwa moja. Je out wako vizuri katika utoaji wa elimu na ni muda gani inachukua. Na...
Msaada wana JF tuwapeleke wapi wanetu waliomaliza form four 2013!! Maana ramani yao itasomeka baada ya matokeo ( sijui lin) na watasubiri hadi wapangiwe high schools au vyuo( mwezi gani sijui)...
Msaada jamen kwa aliyesoma hiyo coz ya MA KISWAHILI ada yake ni sh ngap ?Naomben ada ya vyuo mbalimbali,pia hv desertation yake inaandikwa kwa kiswahili au kiingereza,mwenye kufaham anifahamishe...
wadau naomba kuuliza kuna mdogo wangu kamaliza darasa la saba alipata wasitani wa alama D lakini hakuchaguliwa kujiunga na kidato kwanza wakati nafasi zipo za kutosha? au kuna second selection
sawa umeme ni tatizo sana na linakera sana haswa kipindi hiki cha mitihani..lakini kitendo mlicho kifanya jana sio cha busara..yana kupiga kelele kwenye mablock wakati wenzenu wanasoma..mnaleta...
Katika pitapita yangu kwenye website hii www.41cu.org/tz/ nikakutana na orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania, nimeona sio vibaya tukishirikishana kwenye jambo hilo.1.University of...
mtu amesoma degree ya IT,then akafanikiwa kusoma na post graduate diploma ya business administration PGDBA,sasa anataka kusoma masters lakini kwenye field ya education,lengo lake ni kuja kuwa...
katika tafti yangu ndogo nimegundua lugha ya kigeni katika elimu yetu ni mwiba katika maendeleo ya elimu yetu, kwani ili mwanafunzi aelewe kinachofundishwa mwalimu hana budi kunyanganya kiswahili...
Wakati wanafunzi wa udsm wakiendelea na mitihani yao,jana usiku wamezua mpya baada ya umeme kukatika.baadhi ya wanafunzi waliamua kubeba desa zao na kwenda kwenye taa za barabani kupiga shule ili...
Inasikitisha sana kwa Chuo Kikuu cha Ualimu kukosa hata syllabus 1,neither of O-Level nor of Advanced level ,ni ajabu sana.Wanachuo wanapata wakati mgumu sana kuzipata syllabus ,Tafadhali...
Ndugu wana jamvi kuna taarifa zilizonifikia kutoka vyazo mbali mbali vya habari kutoka chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) Kitivo cha lugha na sayansi za jamii kuwa kuna mgogoro unaofukuta ndani ya...