Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

nakipenda sana chuo changu udom,nakitakia mafanikio kwaharaka kama udsm,lakini mafanikio yake yatachelewa sababu yawatendaji wabovu nawasio wajibika...hapa nataka niwaseme watendaji nawahasibu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
The Ministry of Education, Culture, Sports, Science and Technology (MEXT; in Japanese "Monbukagakusho") of Japan offers Tanzanian students 4 types of scholarship to study at Japanese universities...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
nahitaji mtu wa kunielekeza jinsi alivyopata sponsorship ya masters either kusoma nje au hapa hapa na jinsi alivyo apply,,naomba msaada
1 Reactions
0 Replies
663 Views
Hãbari wana JF,mimi ninaishi Kinyelezi. Nina mpango wa kuhamia Bunju. Ninao watoto watatu wa Form three, Std 3 na begginer. Wote wanasoma kwenye English medium. Mwenye kujua shule nzuri iliyopo...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wakuu mwaka jana saut walikuwa wanatangaza evening program kwa level ya bachelor na watu weng sana waliapply nikiwemo na mimi pia walisema masomo yangeanza mwezi wa 8 lakin hawakuanzisha had muda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, wapi naweza pata vitabu vya petroleum engineering kwenye mtandao? Msaada...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau hv inakuwaje? utakuta m2 alipangwa/ajira labda MKOANI RUVUMA ndan ya wiki moja unakuta kabadilishiwa abda ARUSHA, Hv utaratibu gan unafanyikaa? napnda kufahamu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa taarifa amabazo nimezipata kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba walimu walio kuwa wanasubiri ajira ya serikali wanaweza wasiajiliwe kwa sasa kutokana na ufinyu wa bajeti ya wizara hali hii pia...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani kifupi nimekaa home mpaka naona kichefuchefu, vp post zinatoka lini?
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Tafadhali kwa watu wa morogoro wanaojua kituo kinachotoa maelekezo(mafunzo) ya muziki notaz na upigaji wa kinanda na gitaa nijulisheni nataka nihudhurie.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar zenu jaman Mimi no mwalm natafute kaz kwa masomo ya Geo Na kisw nipo dar
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Natanguliza salamu kwanza! jamani kwa anae jua kuhusu "MUVUMI CLINICAL SCIENCE" iliyoko dodoma au naomba mnipatie web yao
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Wakuu nina rafiki angu anataka nimfunze kiswahili ila sina muongozo, naomba kwa yeyote anaejua whereabouts kuhusu hili anisaidie, atakaefanikisha ninaahidi kumlipa Tsh 20,000. Whether ni syllabus...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Review. The final exam is basically a test on everything you have learned. Look at old tests, notes, and attempt to remember what your teacher taught you. Find your weak points. Is there a...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wandugu kama unataka kumwamisha mwanafunzi kutoka shule moja kwenda shule nyingine. Nko tayari kukusaidia Piga 0755272776
1 Reactions
4 Replies
3K Views
wapemwa wanajamii wenzangu,nimebahatika kupata nafasi ya kusoma shahida ya uzamili ktk fani ya biashara chuo kikuu cha DSM,ishu ni ada je naweza kufaham ni NGOs zip au Ubalozi gani naweza kuomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Me ni mwal. Wa kemia na Baolojia, nmemaliza chuo kikuu mwaka jana 2013, nasubiri kupangiwa kazi na serikali, tatizo hadi sasa sijachukua transcript, je nikipangiwa kazi inawezekana nikapokelewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF; UNIVERSITY OF TWENTE wametangaza scholarships za fields kibao, kwa wanaotaka kufanya Masters, kwa mwenye kuhitaji source: International Scholarships for International Students from...
1 Reactions
0 Replies
932 Views
You can make your knowledge limitless by sharing it with others at *****. Our aim is to build knowledge database for anyone to access free of charge.
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…