Jamani wa moja ni moja tu hawezi kuwa mbili na siku zote kilicho bora zaidi kinazidi kujitenga na pumba.UDSM imendelea kutoa wasomi waliobobea na kutambulika na bodi ya uhasibu (NBAA) kwa kipindi...
KALOLENI CENTRE FOR CPA REVIEW CLASSES-STARTING ON 5th JANUARY 2014
Once again! "The Centre that Unlocks your Potentials" will be open for CPA review classes from 5th January 2014.
1. Je...
Mwanzoni nilikuwa mpinzani sana wa hivi vyoo vya kukaa, nilikuwa naona uchafu, kila mtu anaweka ------ yake pale, pia usipokuwa mwangalifu ukijisaidia maji yanaweza kukurukia, niliona ni rahisi...
Ninasikitika kuwa maafisa wa elimu wote wa manispaa ya Bukoba idara ya shule za msingi wana kiwango cha elimu ya diplama na wengine cheti, wakati wapo walimu tele walio na elimu kiwango cha degree...
KWENU WASOMI WENZANGU SEKONDARI MPAKA VYUONI, SHIME WAKATI UMEFIKA ; TUMEPEWA SILAHA ILI TUITUMIE KULETA MABADILIKO ,NALETA KWENU MAONI YANGU NAOMBA KILA MMOJA WETU AYAPITIE KWA KINA NA...
Wandugu, mm ni muhitmu wa chuo kikuu kitivo cha elimu nmechukua uchumi (economics) kama somo la kufundishia. Kama yoyote anafaham shule gan inahitaj mwalimu wa uchumi naomba tuwasiliane namba...
Mtoto wa kaka angu anatafutiwa shule. Kwa wale wa Tanga mjini secondary gani ni nzuri kujiunga form one O level. Hata ikiwa day sio mbaya. Kama boarding ndio poa sio mbaya pia
Asanteni
mimi nasoma shahada ya kwanza ya ualimu ..Bed-English...niko mwaka wa 3.. ningependa sana kusoma postgraduate diploma ya international relation management... kuna chuo Tanzania? na nitapata ajira...
Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza...
Jamani naombeni mnisaidie maana nina mwezi wa tatu sasa nafuatilia translation ya cheti change tcu bila mafanikio na bila taarifa inayoeleweka, naombeni mwongozo ni wapi naweza kusaidia badala ya...
I know our 8-4-4 system is not any better but reading news that 12,000 students sat for a national exam while illiterate surely something not right. Unless the news-makers are just being...
Naomba kujua yafuatayo kuhusu shule ya upili mzumbe,msosi,je msosi wao ukoje au n kama shule nyngne za serikali,malazi,wanafunzi wanabebana,kuna upungufu wa vitanda,walim,kuna walim wa kutosha?na...