Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wale mlioomba transfer tcu, mambo tayari, pitie kwenye web then click ile taarifa ya selected student, utaona link yake. Naomba niwaulize kama umepata mkopo ktk chuo ambacho ndio umeamishwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie,kama kuna mtu anaejua second selection za diploma muhimbili huwa zinatoka mwezi wa ngapi?na waliochaguliwa hujiunga mwezi wa ngapi?msaada please.!Mungu awabariki.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wale
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Kijana wa kiume ambaye hajapata sehemu ya kuishi kuna room Changanyikeni(Bondeni), ni karibu, panafaa hata kwa shato pori. Kama unaitaji ni pm.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina mdogo wangu anataka kusomea Diploma in Tourism kwenye chuo chochote kilichosajiliwa na NACTE.Kwa yeyote anayejua chuo hicho tafadhali anitajie jina,naomba pia na mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini za majukumu wanajamvi? Nina ndugu yangu ana cheti cha ualimu wa shule ya msingi ila angependa kujiendeleza kwa malengo ya kutaka kubadiri taaluma. Naomba ushauri wenu ili tuweze kujua...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
kwa wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza udsm tuliokosa mkopo kesho saa10 jioni tutakua na kikao na daruso, ni muhimu tunaombwa kufika.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenye chumba anauza au anibebe jaman hapa mabibo hostel anistue kwenye 0752485142
0 Reactions
8 Replies
2K Views
karibu wik mbili sasa toka tuanze kuripot hapa chuon, kwa upande wa kinadada wote wa mwaka wa kwanza hasa college ya eduction,wameonesha heshima na nidham ya hali ya juu hasa ktk mavaz, kwahiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wanajamii... wiki iliyopita nilikua mkoani singida katika harakati zangu za kusaka mkate wa kila siku lakini safari haikuishia singida mjini kwani ilinilazimu kwenda katika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
by JOHN BUKUKU on OCTOBER 23, 2013 in JAMII Na Faki Mjaka-MAELEZO - ZANZIBAR Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imesema Masomo ya Dini,Kiarabu na Masomo mengine hajafutwa na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu morogoro kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau, habari za leo? nimesikia kwamba chuo cha taifa cha usafirishaji kiko mbioni kuanzisha course ya usafirishaji wa anga ambayo ada yake inafikia TAS milioni mia moja! wadau nimejiuliza sana...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
naombeni mawazo yenu wana jamii nimepangiw chuo cha art coz ya art wakati nimesoma sayansi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jf vp napenda kuuliza n kipi chuo kinachotoa elmu bora kil kat ya hv? mwenge,kcmuc,mweka,muccobs etc
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mimi ni mwanafunzi wa kiume wa UDSM mwaka wa tatu naomba kama kuna mwanafunzi anaweza kunibeba au kuniuzia room Mabibo Hostel anaweza kuni-pm. Ni kijana safi tu, mpole. Thanks in advance wakuu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
pata computer kwa bei rahisi ukiwa dodoma kama vile 1.del laitude D620 processor core 2 duo 2.0 ghz,ram 2 gb,hdd120 gb,wireless,bluetooth wifi dvd writter kwa 400,000 tu pamoja na guarantee 1...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Joining instruction vipi mbona kimya? kama kuna yeyote mwenye taarifa msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Jamani vp kuusu sisi continue ndio hatustahili kupata loan au nn kinaendelea till nw
0 Reactions
0 Replies
705 Views
There will be a test at 26th of october,tc ol about testing the knowledge for all 1st year student 2013/14! If you fail automatically you ll b required to study it...!bt when u pass t wij b over...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…