Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

mimi ni mwanafunz wa chuo kikuu cha dodoma,kutokana na kutomudu gharama za kujisomesha nimeamua kuahirisha mwaka huu wa masomo ili nitafte pesa nirud mwakan so pls naomben mnisaidie utaratibu hasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana TEOFILO KISANJI UNIVERSISTY mimi ni mdogo wenu soo kama vipi kufamiana sio vibaya mi ndo nipo mwaka wa kwanza:hat::hat::hat::hat::hat:
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Poleni first year wa TEKU Kwa maana tangu mufike tarehe 16 october hakuna kinachoendelea jamani hata BUMU hamjapata mmmmmh.......................hi ni haki kweli embu nisaidieni jamani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani naomba mnisaidie kati ya hizi elective course ni opt course gani?: 1:introduction to astronomy and astrophysics, (10 units) 2: numerical analysis, (10 units) 3: earth-atmosphere system...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
habari wakubwa! samahani naomba mnisaidie kati ya hizi kozi ni opt ipi: 1:astronomy and astrophysics, (10 units) 2:numerical analysis, (10 units) au 3: earth-atmosphere system. (7.5 units)...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Nimemaliza 4m4 mwaka jana na malengo yangu natamani niwe nafanya kaz benki kwa hyo nisomee nini ili niweze kupata kazi benki?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Heshima kwenu wana JF, Ni siku nyingine tena tumekutana hapa jukwaani wanabodi wenzangu. Leo tarehe 25/10/2013 tunapenda kuwakaribisha wanachuo wenzetu wa MWUCE katika hafla ya kuwakaribisha...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani wadau naomba kuuliza ADA za vyuo vya serikali vya NURSING CERTIFICATE. Mwenye kujua naombeni msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inawezekana kuchukua degree ya pil yan mastaz ukiwa una degree ya kwanza ya afya labda md, nursng au maabala, kama hpo inaitwaje na duration ake n kpnd gan?:A S-key::help:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
As the heading above application starts on 14-25 october 2013 SOURCE TCU website
0 Reactions
28 Replies
3K Views
wanafunzi wa mwaka wa kwanza SAUT wamejikuta hawana la kufanya baada kupigwa kalenda juu y boom.trh haijulikani.ni haki?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajamii forum hali sio nzuri katika chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebatian kolowa(sekomu), hii nikutokana na wanafunzi wa mwaka wa pili kupunguziwa ada na mbaya zaidi wanafunzi wengi walio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HESLB leo wametoa taarifa kuwa kesho watatoa majina ya watu 1107 watakaopatiwa mkopo hawa ni kati ya wale ambao form zao awali zilikuwa na dosari hivyo taarifa zote kuhusu jinsi gani ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni shule ya sekondari ya mchanganyiko,tar 19.10 ilikuwa ni graduation kw kidato cha nne,wazaz waliwapelekea zawad mbalimbal watoto wao lakin izo zawad zimesababish watoto wao kulia mana jana...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
naombeni msaada wadau je inawezekana polisi kujiendeleza kielimu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamu mtu akisoma open university soko lake la ajira likoje? Nafikiria kusoma BBA with Finance hapo open university, msaada tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika hali isiyo kawaida mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Idodi amepewa adhabu ya viboko takribani fimbo 100 kwa muda wa saa tatu hadi kupoteza fahamu na baadaye kufungiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa jf nimetoka heslb katika kufuatilia mkopo,walichokisema ni kwamba wale waliokosea kujaza form zao na ni priority kozi ndio watakao angaliwa. Tukamuuliza walioandikiwa eligible but budget...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…